@Tuko

Spika Justin Muturi awatetea wabunge waliosafiri Urusi kutazama kombe la dunia - 7 months ago, 12 July 20:42

By: Philip Mboya

- Spika Muturi alieleza kuwa wabunge 20 walisafiria Urusi kutazama kipute cha kombe la dunia

- Aliwatetea wabunge hao akieleza kuwa walienda kujifunza jinsi ya kukuza kandanda nchini Kenya

- Waziri wa michezo Echesa aliidhinisha usafiri wa wabunge hao ili kujifunza kuhusu maandalizi ya masuala ya spoti

Habari Nyingine :

Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi sasa amethibitisha kuwa wabunge 20 waliosafiria nchini Urusi hawakuenda kutazama mpira tu bali walienda pia kujifunza kuhusu masuala yanayohusu spoti.

Akiwatetea wabunge hao ambao walishambuliwa vikali kwa kufuja hela za umma, Muturi alieleza kuwa hatua hiyo haikuwa mbaya akidai kuwa walikuwa na lengo la kukuza spoti humu nchini.

Habari Nyingine :

Akihojiwa na runinga ya Citizen Alhamisi , Julai 12, alieleza kuwa wabunge hao ni wanakamati ya michezo na utamaduni na kuwa waliandamana na wanatimu ya Bunge FC.

‘’ Nam, baadhi ya wabunge wamesafiria Urusi kutazama kipute cha kombe la ...
Read More


Category: topnews news

Suggested

22 minutes
I’m still receiving threats –Miss Cashy

Female Rapper Miss Cashy claims that she is still receiving threats days after launching damning allegations against her ex-boyfriend Khaligraph Jones. Through her Insta-stories Miss Cashy mentioned ...

Category: topnews news
9 minutes
Government rejects 133 courses offered in universities

About 10,000 students enrolled in various universities in the country are set to graduate with "useless degree" by the end of 2019, the Commission of University Education (CUE) has revealed. According ...

Category: topnews news politics
2 minutes
Key ways we are making dating harder than it should be

Nowadays, getting into a relationship is like climbing the Everest. Why have we complicated this process of falling in love that should in fact, be seamless? These days, you could get into a ...

Category: topnews news
2 minutes
We lied to Kenyans about UhuRuto in our campaigns - Boni Khalwale

Former Kakamega senator Boni Khalwale has sensationally claimed National Super Alliance (NASA) used propaganda to de-campaign President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto during the 2017 ...

Category: topnews news
1 hours ago, 10:02
Jaramogi statue set to be placed in CBD

The Kisumu County government has pledged to erect a stature in honour of Kenya's first vice president Jaramogi Oginga Odinga. Speaking during the 25th commemoration of Oginga's death, Kisumu Governor ...

Category: topnews news
1 hour ago
Wah! Akothee awaacha wengi vinywa wazi baada ya kuwaonyesha vya nguoni – Picha

Katika picha ambazo TUKO.co.ke ilizitizama, Akothee alionekana akiwa amepanua miguu yake kwa msaada wa wanenguaji wake, na katika kufanya hivyo alikuwa akitaka kuhakikisha burudani alilowapa mashabiki ...

Category: topnews news