@Tuko

Magavana wataka kinga dhidi ya kushitakiwa mahakamani wakiwa uongozini kama Rais Uhuru Kenyatta? - 7 months ago, 12 July 20:59

By: Erick Kombo Ndubi

- Viongozi hao wa kaunti walisema kuwa wanaongoza serikali na wanafaa kushughulikiwa kwa heshima.

- Pia wanaomba kutoshtakiwa katika kesi za kuhujumu uchumi na fedha za umma

- Magavana wasema serikali haifai kuchukulia vita dhidi ya ufisadi kujipatia umaarufu kwa umma na vyombo vya habari

Baraza la Magavana limejitokeza kusema kuwa magavana hawafai kushtakiwa wakiwa katika hatamu yao ya uongozi kulingana na habari waliyoitoa Jumatatu, Julai 9.

Katika habari iliyotumwa kwa vyombo vya habari Alhamisi, Julai 12, iliyosomwa na TUKO.co.ke, magavana walisema kuwa habari hiyo waliyokuwa wametoa hapo awali kuhusu kushtakiwa kwa magavana haikusomwa vyema na mambo muhimu waliyotaka yashughulikiwe hayakutajwa.

Habari Nyingine:

Mwenyekiti wa baraza hilo alisema viongozi wa kaunti wanasisitiza uongozi wa haiba ya juu, uadilifu na uwajibikaji mambo ambayo yamewekwa katika katiba na hawawezi kukubali mtu yeyote kuvunja sheria kwa kikwazo cha kupigana na ufisadi.

“Kufikisha gavana mahakamani na kumyima kuachiliwa kwa ...
Read More


Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 22:42
NBA, FIBA unite to operate 12-team African pro league

The Basketball Africa League (BAL) was unveiled at Charlotte, North Carolina, on the eve of the 68th NBA All-Star Game. With teams from across Africa, the BAL will assemble based on a foundation of ...

Category: topnews news
1 hours ago, 22:42
No Yes-men: Some resist Cuba government's constitution push

Billboards blare out the message "#YoVotoSi" (I vote yes) at intersections. Buses pass carrying the same line in smaller letters, and there it is again on stickers at cash machines or supermarket ...

Category: topnews news
1 hours ago, 22:42
24 bodies retrieved from flooded Zimbabwe gold mine: report

"Eight of the trapped minors have been rescued ... while 24 bodies have been retrieved to date as rescue efforts continue at Battlefields Mine," the Zimbabwe Broadcasting Corporation reported. The two ...

Category: topnews news
2 hours ago, 21:42
Kenya sends away Somalia envoy over oil blocs sale dispute

Kenya has ordered out Somali Ambassador Jamal Mohamed Hassan and recalled its envoy Lucas Tumbo from Mogadishu in an escalating diplomatic row anchored on oil fields. Kenya was offended after Somalia ...

Category: topnews news
2 hours ago, 21:32
Nyandarua couple dies in mysterious night inferno

A man and his wife were burnt beyond recognition at Kwa Mumbi village home in Nyandarua county on the night of Saturday, February 16. Bodies of retired teacher Samuel Kamakia and nurse Veronica ...

Category: topnews news
1 hour ago
Ten-man Schalke draw blank ahead of Man City clash

Schalke are winless in their last three Bundesliga games and sit just above the relegation places in 14th spot. Next up is a huge challenge at home to Pep Guardiola's Premier League giants Man City in ...

Category: topnews news