@Tuko

Daktari bandia Mugo wa Wairimu kusalia kizuizini kwa siku 10 - 3 months ago, 15 Nov 09:08

By: Lauryn Kusimba

- Mugo wa Wairimu alikamatwa na maafisa wa kitengo cha Flying Squad Jumanne Novemba 13 majira ya saa moja jioni kule Gachie kaunti ya Kiambu

- Mugo anakashifiwa kwa kuendesha kliniki katika mtaa wa Kayole bila leseni wala stakabadhi zinazohitajika yeye kuwa daktari wa kina mama

- Wafanyakazi wake 2 ambao pia ni wanafunzi wa vyuo vikuu wanazuiliwa kwa kuhudumu kwenye kliniki hiyo bila vibali

Daktari bandia Mugo wa Wairimu alifikishwa mbele ya mahakama kuu ya Milimani siku moja baada ya kukamatwa na mafisa wa kitengo cha Flying Squad akiwa mafichoni kule Gachie kaunti ya Kiambu.

Mugo ambaye alifikishwa mbele ya hakimu Bernard Nzakyo alikashifiwa kwa kuendesha kliniki ya akina mama bila leseni mtaani Kayole, jijini Nairobi.

Hata hivyo, Mugo hakukiri wala kukana mashtaka dhidi yake kwani mawakili wanaoshughulikia kesi yake walitaka muda zaidi wa kufanya uchunguzi.

Hakimu Nzakyo aliamrisha Mugo kuzuiliwa kwa siku 10 hadi Novemba 23 ambapo ...
Read More


Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 07:59
Laureus Sports Awards 2019: Eliud Kipchoge Feted for Exceptional Achievement

Kenyan marathoner Eliud Kipchoge has added another feather to his cap after bagging the Exceptional Sports Achievement Award in the 2019 Laureus World Sports Awards held in Monaco on Monday. The ...

Category: topnews news
1 hours ago, 07:52
French President Emmanuel Macron to visit Kenya in March

French president Emmanuel Macron is set to visit the country in March for a two-day State visit, State House has announced. The visit is expected to a open new ground in the bilateral relations ...

Category: topnews news politics
26 minutes
Moses Wetang'ula calls for probe into mysterious drowning of PA’s son

Ford Kenya party leader, Moses Wetang'ula, has called for immediate investigation into the mysterious death of the son of his personal assistant, Chris Mandu Mandu, who doubles as Ford Kenya's ...

Category: topnews news
1 hour ago
Busia Form Three girl, 18, wants left arm chopped off to end years of suffering

The teenager wants the arm cut off since it affects her schooling. She only attends classes three times a week and can only walk while leaning to the right side to balance the weight from the left ...

Category: news politics topnews
16 minutes
Simple ways to treat athlete's foot at home

Athlete’s foot is a common fungal infection that affects the area between the toes. Although it hardly gets severe, the symptoms can be a nuisance. Itching, rashes, burning sensation and moist feet ...

Category: topnews news
1 hour ago
Babu Owino amuokoa jamaa aliyemuiba mwanawe hospitali KNH kwa kukosa pesa

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameahidi kulipa bili ya hospitali kumuokoa jamaa aliyenaswa akimuiba mwanawe baada ya kushindwa kulipa bili hiyo.Kando na kulipa bili ya hospitali, mbunge huyo ...

Category: topnews news