@Tuko

Wetangula na Kalonzo walikutana na viongozi wa Jubilee kisiri- Miguna Miguna adai

8 months ago, 13 Jan 18:39

By: Lauryn Kusimba

Miguna Miguna amedai kuwa vinara wenza wa muungano wa NASA,Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wamekuwa wakifanya mikutano ya siri na viongozi wa Jubilee.Miguna kupitia kwenye mtandao wake wa Twitter alidai kuwa mikutano hiyo inanuia kusambaratisha muungano wa NASA na kuzuia kuapishwa kwa Raila Odinga kama rais wa bunge la mwananchi. Aidha,aliwahakikishia Wakenya kuwa mipango ya kumuapisha Raila ingalipo Wakili maarufu Miguna Miguna amedai kuwa vinara wenza wa muungano wa NASA,Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wamekuwa wakifanya mikutano ya siri na viongozi kutoka mrengo wa Jubilee. Wetangula na Kalonzo wakashfiwa na Miguna Miguna kwa kufanya mikutano ya siri na viongozi wa Jubilee. Picha: THE BIG ISSUE Habari Nyingine: Kulingana na Miguna,Jubilee inataka kusambaratisha muungano wa NASA na kuzuia kuapishwa kwa Raila Odinga kama rais wa bunge la mwananchi. Miguna alisisitiza kuwa mipango ya kumuapisha Raila ingalipo na kudai kuwa rais Uhuru Kenyatta hakuchaguliwa kwa njia ya haki na huru. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Kuapishwa kwa Raila kumekumbwa na panda shuka nyingi huku baadhi ya viongozi wa muungano wa NASA wakipinga uapisho huo. Juma lililopita mbunge wa Kitutu Chache Kusini, na ambaye pia ni naibu wa chama cha Ford Kenya alidai kuwa hakufurahishwa na jinsi uchaguzi ulivyofanya ila hawezi kusema Uhuru sio kiongozi mwema ikizingatiwa kwamba alishaapishwa. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 11:32
@Mpasho - By: Lily Mwangi
Ugua pole! Find out what Chipukeezy is suffering from that made him miss his Monday show

The Chipukeezy Show did not air on Monday as usual and fans were worried. ...

Category: lifestyle news entertainment topnews
1 hours ago, 11:32
@Tuko - By: Fred Kennedy
Chelsea star Eden Hazard to miss Blues' Europa League opener with PAOK Salonika

Belgium international Eden Hazard has been left at home by Chelsea manager Maurizio Sarri for their Europa League encounter against Greece side PAOK Salonika. Eden Hazard scored three goals in the Blu ...

Category: sports news topnews
2 hours ago, 11:10
@Mpasho - By: Caren Nyota
RIP! Nairobi Diaries Janet Mwaluda's fiance laid to rest (Photos)

It was pain and agony as Ian Mukuria, Nairobi Diaries director Janet Mwaluda’s fiance was laid to rest. ...

Chelsea star Ethan Ampadu pens 5-year contract extension at Stamford Bridge

Chelsea youngster Ethan Ampadu has penned a five-year contract extension at Stamford Bridge, keeping him at West London outfit until 2023. The 18-year-old Ampadu moved to Chelsea from Exeter City in J ...

Category: sports news topnews
1 hours ago, 11:46
@Tuko - By: Francis Silva
Baada ya KDF Wakenya waibuka na mandazi kwa jina 'Obado'

Itakumbukwa kuwa, Okoth Obado ni Gavana wa Migori, ambaye sasa anaandamwa na madai kuhusiana na mauaji ya Sharon na huenda, wafanyabiashara wanalitumia jina hili kwa ajili ya kufanya mandazi hayo kuwa ...

Category: topnews news
2 hours ago, 10:58
@Tuko - By: Adia Mwikali
Effective ways on how to answer questions in an interview

Learning⭐HOW TO ANSWER QUESTIONS IN AN INTERVIEW⭐is the only way that you can increase your chances of success at any given job. Applicants will be many and only those who stand out will secure the jo ...

Our App