@Tuko

Wabunge wa kaunti ya Kisumu wazabana mangumi hadharani bungeni

5 days ago, 17:50

By: Philip Mboya

-Tukio hilo lilianza baada ya hoja ya kuwatimua maafisa wawili wakuu wa kaunti hiyo

-Wabunge hao walianza kurushiana cheche za matusu huku baadhi wakidai watamtimua gavana Anyang’ Nyong’o

Habari Nyingine :

Bunge la kaunti ya Kisumu liligeuka uwanja wa vita huku wabunge wakirashiana mangumi baada kutofautiana kuhusu hoja ya kuwatimua maafisa wawili wakuu wa kaunti hiyo.

Bunge hilo lilichafuka baada ya Gard Olila kuwasilisha hoja ya kuwatimimua maafisa hao.

Katika video iliyosambaa mitandaoni na kuonwa na jarida la TUKO.co.ke, wabunge wanne wanaonekana kusimama imara na kukataa hatua ya kuwatimua maafisa hao na kuanza kupigana kuwaunga mikono.

Habari Nyingine :

Baadhi ya wabunge hao walidai kuwa kulikuwa na njama ya kumtimua gavana Nyongo. Picha: Anyang Nyongo: Facebook

Hoja hiyo inadaiwa kuleta mgawanyiko mkali bungeni huku baadhi wakiiunga mkono na wengine kuikashifu.

Pamela Odhiambo, mwakilishi wadi ya Manyatta B alifunguka kuhusu njama ya kumtimua gavana Nyong’o.

Habari Nyingine :

Mwakilishi wadi wa Kondele Joachim Oketch na yule wa Migosi Victor Rodgers walianza kuzabana mangumi huku wenzao wakijaribu kuwatenganisha.

Habari Nyingine :

Hii hapa video hiyo.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

9 hours ago, 20:51
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Belgium defeat Panama 3-0 in Group G at Russia 2018 World Cup

Belgium on Monday, June 18, got off the start of their campaign at the 2018 FIFA World Cup on a winning note beating Panama 3-0 in Group G opener. Manchester United striker Romelu Lukaku scored two go ...

Category: sports news topnews
9 hours ago, 20:28
@Tuko - By: Joshua Kithome
Aukot wa Thirdway Alliance na wakili Ahmednassir wakabana koo mitandaoni

Vita vya maneno katika mtandao wa Twitter vilishuhudiwa kati ya Wakili Ahmednassir na kiongozi wa chama cha kisiasa cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muh ...

Category: topnews news
9 hours ago, 20:17
@Tuko - By: Joshua Kithome
Hakuna yeyote hutajirika kutokana na mshahara pekee - Murkomen amtetea Ruto kwa shutma za ufisadi

Kunaonekana kuwa na vita baridi serikalini huku baadhi ya wanasiasa katika chama cha kisiasa cha Jubilee wakidai kuwa wandani wa Uhuru wamekuwa wakimwandama Ruto ili kumkomesha kisiasa kwa kumhusisha ...

Category: topnews news
9 hours ago, 20:11
@Tuko - By: Rene Otinga
Tourism CS Najib Balala has a cute lookalike daughter and TUKO.co.ke has photos

Tourism cabinet Secretary Najib Balala is full proof that you can have perfectly good genes in your senior years after he unveiled his cute, lookalike daughter. The coastal-based CS via his social med ...

Category: topnews news entertainment
7 hours ago, 22:26
@Tuko - By: Rene Otinga
Prisoners escape from Malindi GK prison, send text to journalist explaining their motive

Two Prisoners from the Malindi GK Prison on Monday, June 18, broke out in what authorities claim are unclear circumstances. Information reaching TUKO.co.ke from the ground indicate the prisoners made ...

Category: topnews news
10 hours ago, 19:43
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Croatian forward Nikola Kalinic sent home after refusing to play against Nigeria

Group D leaders Croatia have thrown Nikola Kalinic out of their World Cup squad after he refused to play. The striker was named on the bench in Group D's 2-0 victory over Nigeria at the Kaliningrad St ...

Our App