@Tuko

Picha ya mwalimu bila mikono akitumia kinywa kuandikia ubaoni yaenea mtandaoni

9 months ago, 13 Mar 22:31

By: Joshua Kithome

Mwalimu mmoja amesifiwa sana kwa ushujaa wake wa kuwafunza wanafunzi wake licha ya kuwa na ulemavu. Picha yake iliyoenea mitandaoni ya kijamii kwa kasi imewaacha wengi vinywa wazi kwa jinsi anavyoweza kufunza na kuandika ubaoni bila mikono Mwalimu mmoja wa somo ya Hesabu katika shule moja amezidi kuzua gumzo katika mitandaoni ya kijamii baada ya kuonekana akiandika ubaoni kwa kutumia meno, kwani ni mlemavu yaani hana mikono. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Picha hiyo ilimwonyesha mwalimu huyo kwa jina Madam Enyonam akiwafunza wanafunzi wake somo la Hisabati bila hata kuwa na wasiwasi wala kuhisi kinyaa. Picha ya mwalimu bila mikono akitumia kinywa kuandikia ubaoni yaenea mtandaoni PICHA: Hisani Habari Nyingine: TUKO.co.ke imefahamu kuwa mwalimu huyo kutoka Nigeria amekuwa akifunza katika shule moja ya R/C Addo-Agyiri School japo haijabainika kama angali katika shule hiyo. Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Hotuba nzima ya Uhuru na Raila kwenye jumba la Harambee. Kwenye TUKO TV
Read More

Category: topnews news

Suggested

41 minutes
@Tuko - By: Christopher Oyier
Diamond amezinguliwa nami licha ya upungufu wa umbo la mwili wangu – Tanasha

Mpenzi wa Diamond Platinumz Tanasha Donna ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha NRG alikiri kuwa huenda hana umbo kamilifu la mwili kama wake wa watu mashuhuri, lakini akaeleza bayana kuwa Diamo ...

Category: topnews news
1 hours ago, 15:43
@Tuko - By: Julie Kwach
Top 10 new action movies 2018 - Watch these before the year ends!

Are you looking for popular and ⭐NEW ACTION MOVIES⭐ in 2018? Find out a series of films that you may have missed so far. Also discover the storyline, release dates, and starring actors behind the succ ...

Category: entertainment news topnews
1 hours ago, 15:32
@Mpasho - By: Uncle Chim Tuna
"Help, my wife doesn't want children, wants sperm donor instead!" Angry married man opens up

I do not believe in marriage or love. It isn’t for me. And when I come across such stories, I don’t even feel some type of way any more. ...

Category: entertainment news lifestyle topnews
1 hours ago, 16:04
@Tuko - By: Christopher Oyier
Mwigizaji wa ‘Real Househelps of Kawangware’ amtambulisha mpenziwe mpya

Mwigizaji maarufu wa kipindi cha runinga cha ‘Real Househelps of Kawangware’ Njambi ambaye majina yake kamilini ni Njeri Gachomba amemfichua mpenziwe mpya baada ya kutengana na mpenziwe wa zamani zaid ...

Category: topnews news
1 hours ago, 15:53
@Tuko - By: Christopher Oyier
Mwanamume mwenye asili ya Somalia ampulizia penzi jipya mwigizaji maarufu Njambi

@Tuko - By: Francis Silva
Chifu Marsabit achomwa moto mbele ya umma kwa madai ya kuwa msaliti

Wakaaji wa lokesheni ya Dirip Gombo, Kaunti ya Marsabit wanaishi kwa hofu baada ya chifu wao kuteketezwa moto mchana. Kulingana na ripoti ya Citizen TV, chifu huyo alivamiwa na watu kutoka jamii yake ...

Our App