@Tuko

Mwanamuziki maarufu Suzanna Owiyo ahusika katika ajali ya barabarani

5 days ago, 06:09

By: Tina Mutinda

Owiyo hakuumia wakati wa kisa hicho cha usiku Jumapili Aprili 15.Kisa hicho kilitokea katika barabara ya Lang’ata.Kisa hicho kilivutia watu wengi waliokuwa wakipita njia waliokuwa wakitaka kumwona Owiyo na gari lake ghali Mwanamuziki maarufu Suzanna Owiyo aliponea alipohusika katika ajali mbaya ya barabarani katika Barabara ya Langata Habari Nyingine: Mwanamuziki maarufu Suzanna Owiyo ahusika katika ajali ya barabarani. Picha/Martin Marto Huku akiwa amevalia nguo fupi na viatu virefu, mwanamuziki huyo alisimama karibu na polisi alipokuwa akikagua kiwango cha uharibifu kwa gari hilo la bei ghali. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Inasemekana gari hilo, Range Rover, liliingia ndani ya mtaro Jumapili Aprili 15, usiku. Wapita njia walisimama kumwangalia mwanamuziki huyo maarufu alipokuwa akizungumza na maafisa wa polisi. Mwanamuziki maarufu Suzanna Owiyo ahusika katika ajali ya barabarani. Picha/Martin Marto Habari Nyingine Suzanna huimba nyimbo za Afro-Fusion ambazo zimempa umaarufu mkubwa. Pia ni mfanyibiashara, mama wa mtoto mmoja na mke wa pili. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

6 hours ago, 18:20
@Tuko - By: Rene Otinga
Tanzanian musical rivals Diamond and Ali Kiba in rare meeting at late socialite's funeral

Just when everyone thought the new trend of rivals resorting to handshakes to bury the hatchet was over, another one comes up. This time, however, it was the showbiz scene which was treated to meeting ...

Category: topnews news entertainment
6 hours ago, 18:11
@Tuko - By: Fred Kennedy
Lacazette on fire as Arsenal demolish West Ham United at the Emirates Stadium

Arsenal on Sunday, April 22, produced astonishing performance at the Emirates Stadium as they defeated visiting West Ham United 4-1 in a Premier League encounter. Aaron Ramsey, Monreal and Alexandre L ...

Category: sports news topnews
5 hours ago, 19:48
@Tuko - By: Asher Omondi
1 dead, 10 hospitalised as family dinner in Migori turns tragic

A family in Nyabohanse village, Migori county was on Saturday,April 21, thrown into mourning when an eight year old boy died after consuming cassava meal. According to Kenya News Agency, at least 10 f ...

Category: topnews news
16 hours ago, 08:52
@Tuko - By: Jacob Onyango
Uhuru admits he ordered the infamous media shutdown over Raila's mock swearing-in

President Uhuru Kenyatta has finally come clean on the infamous media shutdown that followed the controversial swearing-in of the Orange Democratic Movement party leader Raila Odinga on January 30, 20 ...

Category: topnews news politics
9 hours ago, 15:26
7 hours ago, 17:33
@Tuko - By: Philip Mboya
Huu ndio ujumbe alioucha Kenneth Matiba kabla ya kifo chake

Marehemu Kenneth Matiba atapewa heshima ya mwisho Ijumaa, Aprili 27, habari zimetokea kuwa hatazikwa jinsi wengi wanavyotarajia.Imebainika kuwa kiongozi huyo hakutaka kuzikwa na hata akayaacha maagizo ...

Our App