@Tuko

Migori yaomboleza kifo cha mamake aliyekuwa seneta wa Migori marehemu Ben Oluoch

1 months ago, 12 Oct 13:36

By: Christopher Oyier

-Mama Teodora alilazwa katika hospitali ya kimishonari ya St. Joseph Ombo ambapo aliaga dunia

-Kulingana na msemaji wa familia yake Denis Ojwang’, marehemu alikuwa kwenye miaka yake ya 90

-Mwanawe, Oluoch, alifariki kutokana na saratani mwezi Juni 2018 katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi

Familia ya aliyekuwa seneta wa Migori Ben Oluoch Okello imepatwa na msiba mwingine baada ya mamake mwanasiasa huyo kufariki Ijumaa, Oktoba 12 asubuhi.

Mama Teodora Ayieko alitangazwa kufariki katika hospitali ya kimishonari ya St. Joseph Ombo katika kaunti ya Migori ambako alikuwa amelazwa kwa muda, msemaji wa familia hiyo Denis Ojwang’ alisema.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine:

Habari Nyingine:

Ojwang’ alidhibitisha kuwa Mama Teodora alikuwa kwenye miaka yake ya 90.

Kifo chake kimejiri miezi mitano baada ya mwanawe, Okello kuaga dunia kutokana na saratani katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi usiku wa kuamkia Jumatatu, Juni 18.

Habari Nyingine:

Okello ambaye alikuwa mtangazaji maarufu kwa jamii ya Waluo kabla ya kuchaguliwa na watu wa Migori kuwa seneta wao kwenye uchaguzi wa Agosti 2017.

Mtangazaji huyo wa zamani wa redio alishinda kiti hicho kwa tiketi ya chama cha ODM na kuchukua nafasi ya Wilfred Machage aliyeamua kuwania kiti cha ubunge wa Kuria Magharibi.

Habari Nyingine:

Jumatatum, Oktoba 8, 2018, wakazi wa Migori walimchagua Ochillo Ayacko wa chama cha ODM kurithi nafasi ya Oluoch ambaye chama hicho kilimtaja kuwa kiongozi mwaminifu katika kazi yake.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Wakazi wa Migori wamtaka gavana wao Okoth Obado aachiliwe |

Read More

Category: topnews news

Suggested

8 hours ago, 21:30
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Actress Brenda Wairimu leaves little to imagination provocative photoshoot

Yellow yellow actress Brenda Wairimu has left her fans gasping for air after unleashing a hair raising photo of herself dressed in nothing but lacy lingerie. The beauty lay in bed as she stared blankl ...

Category: entertainment news topnews
8 hours ago, 21:05
@Tuko - By: Philip Mboya
Raia wa Uganda aliyeipora kampuni ya Safaricom mamilioni ya pesa anaswa

Gabantu Patrick Emmanuel raia wa Uganda alikamatwa Jumanne, Novemba 13 pamoja na Wakenya wengine wawili Zahra Ahmed na Abdullazac Rajab. Vita vikali vimeanzishwa dhidi ya walaghai nchini huku wananchi ...

Category: topnews news
9 hours ago, 19:48
@Tuko - By: Philip Mboya
Vera Sidika amuahidi Jalang’o KSh 1 milioni akimrudia Otile Brown

Baada ya wawili hao kutangaza kuhusu kutengana kwa mara ya pili, mawasiliano yao machafu yakisambazwa mitandaoni kwa vielelezo skrini, kila mmoja wao ameamua kuzama katika sanaa ya nyimbo Vera akikata ...

Category: topnews news
9 hours ago, 19:38
@Tuko - By: Tuko.co.ke
10 photos of Jacque Maribe bringing out close ties with Kenya’s first family

People have tried to argue TV presenter Jacque Maribe has an added advantage when it comes to everything thanks to her close ties with the who's who of the society. The beauty is friends with Uhuru's ...

Category: topnews news entertainment
9 hours ago, 19:38
@Tuko - By: Christopher Oyier
Dalili zaashiria Prezzo na Amber Lulu wamefufua penzi lao

Msanii wa kufoka Prezzo ameripotiwa kurudiana na mpenziwe Amber Lulu baada kutengana kwa miezi kadhaa. Uhusiano kati ya wapenzi hao waliokutana mwaka wa 2017 ulisambaratika haraka, labda kwa sababu ya ...

Category: topnews news
10 hours ago, 19:12
@Tuko - By: Asher Omondi
Are you ready? KDF announces mass recruitment drive

The Kenya Defence Forces (KDF) has on Tuesday, November 13, announced a one month recruitment drive beginning Monday, November 19 to December 19, for Kenyans willing to join the forces. KDF has warned ...

Our App