@Tuko

Serikali yatangaza kumzika Kenneth Matiba kitaifa

6 months ago, 17 Apr 06:52

By: Lauryn Kusimba

Kenneth Matiba aliaga Jumapili Aprili 15 katika hospitali ya Karen jijini Nairobi baada ya kuugua kwa muda mrefu.Serikali imetangaza kuwa inaandaa kamati maalum ambayo itaendesha shughuli za mazishi yake. Kamati hiyo itawahusisha jamaa zake na viongozi kadhaa kutoka serikalini Serikali kuu imetangaza kuwa aliyekuwa kiongozi wa upinzani Kenneth Matiba atazikwa kitaifa. Matiba aliaga dunia Jumapili Aprili 15 katika hospitali ya Karen jijini Nairobi baada ya kuugua kwa muda mrefu Habari Nyingin Serikali imetangaza kuwa inaandaa kamati maalum ambayo itaendesha shughuli za mazishi yake.Picha: Uhuru Kenyatta/Facebok Kupitia ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa Twitter, msemaji wa serikali Erick Kiraithe alitangaza kuwa kuna kamati maalum ambayo inaundwa itakayoendesha shughuli za mazishi ya mwendazake. Habari Nyingine: " Serikali imeandaa kamati itakayosimamia mazishi ya Matiba, kamati hiyo itawahusisha jamaa zake na baadhi ya viongozi kutoka serikalini," Ujumbe wa Kiraithe ulisoma. Habari Nyingine Joseph Kinyua ambaye ni mkuu wa huduma kwa umma aliteuliwa kuongoza shughuli hiyo. Habari za kuaminika ziliarifu kuwa Matiba amekuwa akiuguwa kutokana na 'Stroke' tangu mwaka wa 1990 akiwa kuzuizini. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Matiba atakumbukwa kwa kupinga utawala wa chama kimoja na kuwa mpinzani mkuu wa rais mstaafu Daniel Moi katika uchaguzi wa 1992. Vingozi wengi walituma risala zao za rambi rambi akiwemo Raila Odinga aliyemtaja Matiba kama kiongozi hodari aliyekuwa mstari wa mbele katika kuikoa Kenya. Read: Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Tazama habari zidi kutka TUKO.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

5 hours ago, 21:45
@Tuko - By: Mary Wangari
Ombi la dhati la familia ya marehemu dereva aliyekuwa akimpeleka Uhuru shuleni

Familia ya afisa aliyehudumu katika Kitengo cha Msafara wa (PEU) wakati wa rais mwanzilishi Jomo Kenyatta inaomba kuwa na kikao na Rais Uhuru Kenyatta ili kuwasilisha ujumbe wake wa mwisho alioacha ka ...

Category: topnews news
6 hours ago, 21:04
@Tuko - By: Fred Kennedy
Man United star Luke Shaw signs new 5-year deal worth KSh2.5 million-per-week

Manchester United left-back Luke Shaw has committed his future to the club as he signs a new five-year deal worth £190,000-a-week. The England international has been in the form of his life in the new ...

Category: sports news topnews
6 hours ago, 21:04
@Tuko - By: Philip Mboya
Mtangazaji tajika Mwende wa Macharia amtambulisha baba ya mwanawe kwa umma

Imebainika kuwa hii ndiyo ilikuwa mara ya kwanza ambapo Mwende alichukua nafasi kumtambulisha Jblessing kama baba ya mwanawe kwa kuichaisha picha yake mtandaoni. Mwende na J Blesing walikuwa na mwanao ...

Category: topnews news
6 hours ago, 20:49
@Tuko - By: Mary Wangari
Uhuru, Ruto ni kama wanandoa wanaoelekea kutalikiana - wakili Ahmednasir

Wakili Ahmednasir Abdullahi amedai uhusiano kati ya wateja wake wawili Uhuru Kenyatta na naibu Rais William Ruto, hauko tena ulivyokuwa wakati wawili hao walipoingia mamlakani 2013 Abdullahi alidai Uh ...

Category: topnews news
6 hours ago, 20:33
@Tuko - By: Rene Otinga
Socialite Corazon Kwamboka claims it is okay to dress skimpy before parents

Tv girl Betty Kyallo was the subject of mass ridicule on Thursday, October 18 after she shared a photo of herself alleging to have met the Queen of England. Betty, who has been in England for the past ...

Category: entertainment news topnews
6 hours ago, 20:18
@Tuko - By: Fred Kennedy
Zlatan Ibrahimovic drums support for Mourinho amid storm at Old Trafford

Sweden legend Zlatan Ibrahimovic is drumming support for Manchester United boss Jose Mourinho to continue doing his best despite different shades of criticism. The Red Devils boss Mourinho in under-fi ...

Category: topnews news sports

Our App