@Tuko

Wetangula na Kalonzo walikutana na viongozi wa Jubilee kisiri- Miguna Miguna adai

5 months ago, 13 Jan 18:39

By: Lauryn Kusimba

Miguna Miguna amedai kuwa vinara wenza wa muungano wa NASA,Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wamekuwa wakifanya mikutano ya siri na viongozi wa Jubilee.Miguna kupitia kwenye mtandao wake wa Twitter alidai kuwa mikutano hiyo inanuia kusambaratisha muungano wa NASA na kuzuia kuapishwa kwa Raila Odinga kama rais wa bunge la mwananchi. Aidha,aliwahakikishia Wakenya kuwa mipango ya kumuapisha Raila ingalipo Wakili maarufu Miguna Miguna amedai kuwa vinara wenza wa muungano wa NASA,Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wamekuwa wakifanya mikutano ya siri na viongozi kutoka mrengo wa Jubilee. Wetangula na Kalonzo wakashfiwa na Miguna Miguna kwa kufanya mikutano ya siri na viongozi wa Jubilee. Picha: THE BIG ISSUE Habari Nyingine: Kulingana na Miguna,Jubilee inataka kusambaratisha muungano wa NASA na kuzuia kuapishwa kwa Raila Odinga kama rais wa bunge la mwananchi. Miguna alisisitiza kuwa mipango ya kumuapisha Raila ingalipo na kudai kuwa rais Uhuru Kenyatta hakuchaguliwa kwa njia ya haki na huru. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Kuapishwa kwa Raila kumekumbwa na panda shuka nyingi huku baadhi ya viongozi wa muungano wa NASA wakipinga uapisho huo. Juma lililopita mbunge wa Kitutu Chache Kusini, na ambaye pia ni naibu wa chama cha Ford Kenya alidai kuwa hakufurahishwa na jinsi uchaguzi ulivyofanya ila hawezi kusema Uhuru sio kiongozi mwema ikizingatiwa kwamba alishaapishwa. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

2 hours ago, 07:04
@Tuko - By: Linda Shiundu
DP Ruto denies divisions in Jubilee following Uhuru war on graft

Following President Uhuru Kenyatta's effort to curb corruption in the country, speculation has been rife that the war on graft was causing a rift in the Jubilee administration but the DP has dismissed ...

Category: politics news topnews
21 minutes
@Tuko - By: Tina Mutinda
Ahmed Musa aifungia Super Eagles mabao 2 dhidi ya Iceland

Timu hizo mbili zilikuwa zimevumilia sare ya nunge kwa nunge katika nusu ya mwanzo. Iceland ilijaribu kusambaratisha ulinzi wa Nigeria lakini ikashindwa kabisa. Nigeria ni ya pili katika kundi D kwa k ...

Category: topnews news
32 minutes
@Tuko - By: Tina Mutinda
Mbunge wa Kitui Rural matatani kwa kumpa MWK KSh 91K kama ufadhili wa masomo

Mbunge wa Kitui Rural David Mwaliku yumo matatani kwa kumpa mwanafunzi wa kike ufadhili wa mafunzo wa KSh 91,000.Ripoti zinaashiria kuwa mbunge huyo alimpa Ziyad KSh 91,000 za kufadhili masomo badala ...

Category: topnews news
9 minutes
@Tuko - By: Linda Shiundu
DP Ruto denies divisions in Jubilee following Uhuru's war on graft

Category: topnews news politics
16 minutes
@Tuko - By: Tuko.co.ke
Here's how a KSh8 Million Mercedes Benz was recovered by Daktari Nyuki at Kenya-Uganda border

Joseph Ndirangu is a lucky farmer. On June 18, he headed home to do his usual chores. As he was standing near his gate, he was confronted by three armed men. They threatened to shoot him if he did not ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Tuko - By: Tina Mutinda
Mchungaji ataka kupewa KSh 200 K kuombea timu ya Nigeria kushinda Kombe la Dunia

Mchungaji mmoja kutoka Nigeria ameshangaza kwa kuwataka wafuasi wake kumpa KSh 200,000 ili kutuma kundi la ‘waombaji’ watakaoombea timu ya Nigeria kushinda Kombe la Dunia. Super Eagles ilishindwa na C ...

Our App