@Tuko

Wazee 2 wazabana mangumi wakizozania boflo

1 months ago, 21 Sep 17:25

By: Philip Mboya

- Jamaa huyo alinunua mkate akampa jirani yake awapelekee wanawe mashambani

- Alipata likizo ya ghafla na kusafiri hadi mashambi kwa familia yake na kugundua kuwa mkate haukufikishiwa wanawe

- Alimtafuta jamaa huyo na kumvamia kwa hasira akitaka ampe mkate wake

Habari Nyingine :

Ilitokea sinema ya bwerere katika eneo la Kunda Kindu , Kitui huku majamaa wawili wakipapurana mangumi wakizozania mkate.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Kulingana na kisa hicho kilichochapishwa katika jarida la Taifa Leo, wawili hao walikuwa wakifanya kazi mjini pamoja na mmoja alimueleza mwenzake kuwa angesafiri mashambani kuiona familia yake.

Habari Nyingine :

Jamaa huyo aliamua kununua mkate mmoja na kumuagiza mwenzake aipelekee familia yake maana walikuwa majirani mashambani.

Mzee aliyesalia mjini alipata likizo ya ghafla na kuamua kusafiri mashambani vile vile.

Habari Nyingine :

Alipowasali, alishangaa kupata habari kuwa mkate haukuwafikia wanawe kama alivyoagiza.

‘’ Wacha mkate. Jirani hakutujulia hali tangu alipofika. Sikupata habari yoyote kutoka kwake,’’ mkewe alimuambia.

''Kwani watoto wangu hawakuletewa mkate niliowatumia. Naelekea kwake sasa hivi. Atanitambua,’’ alisema kwa hasira.

Habari Nyingine :

Alipofikwa jamaa huyo, alikuwa amejawa mori asijue la kufanya.

''Mkate wa watoto wangu uko wapi. Nilikupa mkate uwaletee watoto wangu lakini ukaamua kuula na familia yako,’’ alifoka kwa hasira.

Jamaa huyo alijitetea akisema kuwa mkewe alichukua mkate akijua ni yake na kuipa familia yake.

Habari Nyingine :

Kwa hasira jamaa huyo alimshambulia mwenzake na kumuangusha kwa kishindo huku wakianza kulimana mangumi.

Majirani waliovutiwa na kamsa walifika upesi na kuwatenganisha huku wakiangua kicheka baada ya kusikia chanzo cha mvutano huo.

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

12 hours ago, 18:56
@Tuko - By: Douglas Baya
Vera shares photo of self with friend, fans want her to ditch Otile for him

While some of her fans did as they were asked, most picked to ask her to dump his current on and off lover Otile Brown and kick it off with her good looking friend. For this and more on Vera and Otile ...

Category: entertainment news topnews
12 hours ago, 18:33
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Familia ya Elijah Masinde inaishi kwa ufukara, yataka msaada kutoka kwa Rais

Imebainika kwamba familia ya mwanaharakati maarufu aliyekuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa Wakenya kutokana na utawala wa wakoloni, Elija Masinde haikuhudhuria hafla ya sherehe za siku kuu ya Mas ...

Category: topnews news
13 hours ago, 17:37
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Kipindi cha 'Being Bahati' chateuliwa kuwa bora katika tamasha la Kalasha

TUKO.co.ke ilifahamu kuwa kipindi cha mwanamuziki maarufu Kevin Bahati cha ' Being Bahati' kilikuwa miongoni mwa vipindi vilivyoteuliwa licha ya kuzinduliwa miezi mitatu iliyopita.Tuma neno ‘NEWS’ kwa ...

Category: topnews news
14 hours ago, 16:57
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Uhuru amuonya Mwangi Kiunjuri kuhusiana na wizi wa fedha za wakulima wa mahindi

Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri akimtaka ahakikishe kwamba magenge wafisadi waioiba fedha za wakulima wa mahindi wanachukuliwa hatua kali ya kisheria.TUKO.co. ...

Category: topnews news
9 hours ago, 21:52
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Mo Salah hands Liverpool 1-0 triumph over Huddersfield

Liverpool managed to edge Huddersfield 1-0 at the John Smith's Stadium in the English Premiership on Saturday, October 20. Mohammed Salah was on target for the Reds and opened up the score-sheet with ...

Category: sports news topnews
8 hours ago, 22:03
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Cristiano Ronaldo scores 5th Serie A goal as Genoa hold Juventus 1-1

Cristiano Ronaldo's goal was canceled out by Daniel Bessa as Juventus and Genoa played out a 1-1 draw in Turin. Ronaldo scored his fifth goal of the season with the easiest of tap-in's after Genoa's k ...

Our App