@Tuko

Watahiniwa wa KCSE wakamatwa na misokoto ya bangi katika ukumbi wa mitihani

1 months ago, 15 Nov 11:09

By: Francis Silva

- Watahiniwa hao walipatikana na misokoti sita ya bangi shuleni na wakakamatwa na kupelekwa Gereza la Yatta, Kaunti ya Machakos wakisubiri kuwasilishwa kortini

Mkono mrefu wa sheria umewakamata watahiniwa watano wa Mitihani ya Kidato cha Nne (KCSE) wakiwa na misokoto sita ya bangi.

Watahiniwa hao wa Shule ya Upili ya Mavoloni, Kaunti ya Machakos walikamatwa Jumatano, Novemba 14.

Habari Nyingine:

Watahiniwa waliokamatwa sasa watafanyia mitihani yao kituo cha polisi. Picha: UGC

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine:

Kamanda wa Polisi (OCPD) Yatta, Erick Ngetich alisema, itawalazimu watahiniwa hao kufanyia mitihani yao katika kituo cha polisi. Ngetich aliendelea kusema kuwa, watahiniwa hao walipelekwa katika kituo gereza la Yatta wakisubiri kuwafikishwa kortini Alhamisi, Novemba 15.

Watahiniwa kadha wametiwa mbaroni tangu mitihani hiyo kuanza na makosa yao ni kujihusisha na visa vya ulaghai katika mitihani.

Habari Nyingine:

Alhamisi, Novemba 8, polisi jijini Nairobi walimkamata mtahiniwa aliyekuwa ameficha simu katika sehemu zake za siri, simu hiyo ilikuwa na majaibu ya mtihani aliokuwa akiufanya.

Katika tukio linguine, watahiniwa wawili wa Heights Academy mjini Thika, walipatikana na hatia ya kuiba simu za maafisa waliokuwa wakisimamia mitihani yao.

Read

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Read More

Category: topnews news

Suggested

4 hours ago, 22:30
@Tuko - By: Philip Mboya
Zidane aongoza katika orodha ya wanaotarajia kumridhi Mourinho Man United

Kabla ya kufutwa kazi, mashabiki wa kandanda walianza kueneza uvumu kuhusu kiongozi ambaye ataweza kuchukua nafasi Mourinho katika klabu ya Man United. Zinedine Zidane akipendekezwa na wengi zaidi kuc ...

Category: topnews news
5 hours ago, 21:48
@Tuko - By: Douglas Baya
Juacali officially welcomes Willy Paul to secular world and its hilarious AF

His lyrics alone and lifestyle have been a turn off for many of his followers who have slowly been ditching him. Juacali might just have aired sentiments of many who feel Willy Paul has gone secular, ...

Category: topnews news entertainment
5 hours ago, 21:26
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Diamond na Rayvanny wapigwa marufuku dhidi ya kutumbuiza wafuasi wao Tanzania

Mwanamuziki maarufu wa Tanzania Diamond Platinumz na mwenzake Rayvanny wamepigwa marufuku na serikali ya Tanzania dhidi ya kutumbuiza wafuasi wao nchini Tanzania na nchi zingine.TUKO.co.ke kwa habari ...

Category: topnews news
5 hours ago, 21:08
@Tuko - By: Philip Mboya
Nyota Ndogo ajishau kwa jumba la kifahari baada ya serikali kubomoa nyumba yake

Msanii tajika wa eneo la Pwani Nyota Ndogo amerudi kwa kishindo miezi michache baada ya serikali kuibomoa nyumba yake kutoa nafasi kwa ujenzi wa SGR. Msanii huyo aliwaonyesha mashabiki wake wake jumba ...

Category: topnews news
6 hours ago, 20:43
@Tuko - By: Philip Mboya
Wakazi wa Migori watatizika kuhusu ugonjwa hatari wa zinaa ‘Jakadala’

Maradhi ya zinaa yasiyo ya kawaida yameenea katika kaunti ya Migori huku wenyeji wakilalamikia hatari yake. Visa vya maradhi hayo yameripotiwa Suna, Nyatike, migodi ya Nyarombo na migodi ya Komito kat ...

Category: topnews news
6 hours ago, 20:14
@Tuko - By: Douglas Baya
All colourful photos from Jacque Maribe's birthday party held hours after court

As reported by TUKO.co.ke earlier, Maribe presented herself at the Milimani Law courts on Tuesday for her case hearing where she got the opportunity to meet her lover Irungu once again and share a hea ...

Category: entertainment news topnews

Our App