@Tuko

Wabunge wa kaunti ya Kisumu wazabana mangumi hadharani bungeni

5 months ago, 13 June 17:50

By: Philip Mboya

-Tukio hilo lilianza baada ya hoja ya kuwatimua maafisa wawili wakuu wa kaunti hiyo

-Wabunge hao walianza kurushiana cheche za matusu huku baadhi wakidai watamtimua gavana Anyang’ Nyong’o

Habari Nyingine :

Bunge la kaunti ya Kisumu liligeuka uwanja wa vita huku wabunge wakirashiana mangumi baada kutofautiana kuhusu hoja ya kuwatimua maafisa wawili wakuu wa kaunti hiyo.

Bunge hilo lilichafuka baada ya Gard Olila kuwasilisha hoja ya kuwatimimua maafisa hao.

Katika video iliyosambaa mitandaoni na kuonwa na jarida la TUKO.co.ke, wabunge wanne wanaonekana kusimama imara na kukataa hatua ya kuwatimua maafisa hao na kuanza kupigana kuwaunga mikono.

Habari Nyingine :

Baadhi ya wabunge hao walidai kuwa kulikuwa na njama ya kumtimua gavana Nyongo. Picha: Anyang Nyongo: Facebook

Hoja hiyo inadaiwa kuleta mgawanyiko mkali bungeni huku baadhi wakiiunga mkono na wengine kuikashifu.

Pamela Odhiambo, mwakilishi wadi ya Manyatta B alifunguka kuhusu njama ya kumtimua gavana Nyong’o.

Habari Nyingine :

Mwakilishi wadi wa Kondele Joachim Oketch na yule wa Migosi Victor Rodgers walianza kuzabana mangumi huku wenzao wakijaribu kuwatenganisha.

Habari Nyingine :

Hii hapa video hiyo.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

4 hours ago, 16:19
@Tuko - By: Asher Omondi
Embu bishop warns church members without NHIF card won't be baptised

In what is likely to cause controversy among church members, Bishop Paul Kariuki also warned the church is also considering turning down request for baptism for children whose parents are not register ...

Category: topnews news
4 hours ago, 16:09
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Kabogo amlaumu gavana Waititu kwa kutepetea katika utendakazi wake

Aliyekuwa gavana wa Kiambu William Kabogo amemshtumu vikali gavana wa sasa Ferdinand Waititu kwa matumizi mabaya ya uwanja wa michezo wa Ruiru ambao alitumia mamilioni ya pesa kuujenga.Pata habari zai ...

Category: topnews news
1 hours ago, 19:19
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Top 9 iconic photo's from the world of sports

They say a picture is worth a thousands words. TUKO.co.ke takes a look at select captivating masterpieces from the sports fraternity that blew fans away with their captivating beauty, uniqueness, skil ...

Category: topnews news
5 hours ago, 14:48
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Jamaa asherehekea siku ya kuzaliwa Uganda kwa kumla nyoka wa aina ya cobra

Kenneth Odiom ambaye ni mkaaji wa kijiji cha Kwapa katika wilaya ya Tororo anasemekana kughadhabishwa na nyoka huyo ambaye alidai aliua mojawapo ya kuku wake.Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata haba ...

Category: topnews news
6 hours ago, 13:37
@Tuko - By: Asher Omondi
Ugandan man eats cobra that killed his chicken to celebrate birthday

A man from the Eastern Uganda has left friends and family in shock when he devoured a huge serpent on his birthday. Kenneth Odiom who is a transporter and a resident of Kwapa central village was anger ...

Category: topnews news
1 hours ago, 19:19
@Tuko - By: Asher Omondi
Samburu West MP Naisula Lesuuda holds colourful wedding

The clear blue skies only meant the big day in the life of Samburu West MP Naisula Lesuuda and her lover Robert Kiplagat would go smoothly as they awaited to exchange vows. She was rumoured to be dati ...

Our App