@Tuko

Vipusa 4 wabaki kwa aibu klabuni baada ya sponsa kuwatoroka bila kulipa bili ya KSh 30,000

2 months ago, 13 June 16:42

By: Philip Mboya

-Je umewahi kuabika kiasi cha kutaka ardhi ifunguke ili ikumeze? ama je umewahi kumpeleka mpenziwo kustarehe kisha akala na kunywa zaidi ya uwezo wako?

Vipusa wanne nchini Afrika Kusini walijipata pabaya Jumapili, Juni 10 baada ya mwanamme mmoja waliokuwa wakistarehe naye kuamua kuwapa funzo.

Habari Nyingine :

Inadaiwa kuwa jamaa huyo ambaye aliwapeleka wanawake hao katika eneo la burudani aliamua kuwatoroka na kuwacha kwa aibu na bili ya KSh 30,000 bila kulipa.

Habari Nyingine :

Kulingana na mtumizi wa Twitter @danielmarven aliyeichapisha video ya vipusa hao wakiwa wanafedheheka kwa bili hiyo iliyowashinda kulipa, wanawake wanapaswa kuenda vilabuni wakiwa na hela zao ili kuepuka aibu kama hizo.

Habari Nyingine :

Katika video hiyo iliyoonwa na jarida la TUKO.co.ke, vipusa hao wanne wanaonekana wakiwa na bili ya KSh 30, 000 mkononi huku wanahangaika.

Habari Nyingine :

Baadhi ya watumuzi wa mitandao ya kijamii walimsifu jamaa huyo aliyewatoroka na kudai kuwa wanawake wana mazoea ya kuwavyonza wanaume huku baadhi wakimkashifu kwa kuwapa aibu vipusa hao.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

4 hours ago, 14:16
@Tuko - By: Fred Kennedy
Blow to Man United as Sanchez fails to make squad ahead of Brighton test

Chilean forward Alexis Sanchez was the only big star missing from Manchester United delegation that left Old Trafford for Brighton. Sanchez was not present as the squad left Manchester airport and was ...

Category: topnews news sports
3 hours ago, 14:43
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Mother-in-law actor Ninja expecting second child with mzungu wife

Celebrated actor and funny man Jeff Okello aka Ninja is over the moon as he waits for his wife Katja Maria huhta to give birth to their second child. The couple go hitched in a lavish ceremony back in ...

Category: topnews news entertainment
3 hours ago, 15:03
@Tuko - By: Fred Kennedy
Barcelona begin title defence in earnest as Messi scores the club's 6000th goal

Spanish League champions Barcelona got their La Liga title defence off to a winning start following their 3-0 victory over visiting Alaves at the Camp Nou. Messi opening goal was Barca's 6000th goal i ...

Category: topnews news sports
5 hours ago, 13:25
@Tuko - By: Muyela Roberto
Kamba leaders snub Foreign Affairs CS Juma's homecoming

The Kamba community seems to have nothing to celebrate following Monica Juma’s appointment to the Cabinet to take up the Foreign Affairs docket. They say there is nothing to celebrate about her appoin ...

Category: politics news topnews
Now
@Tuko - By: Rene Otinga
Ugandan musicians begin prayers for Bobi Wine as his condition worsens

As the situation gets more dire for musician turned politician Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi Wine, musicians have now resorted to prayer in the hope that the outspoken artist will find some re ...

Category: topnews news
1 hours ago, 16:34
@Tuko - By: Rene Otinga
13 buses mysteriously torched in Thika

A Thika-based businessman has been left in shambles after 13 buses belonging to Chania SACCO were reduced to ashes by suspected arsonists. The buses, TUKO.co.ke understands, were parked for the night ...

Our App