@Tuko

Terryanne Chebet alazwa hospitalini

3 weeks ago, 06:04

By: Lauryn Kusimba

- Aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Citizen Terryanne Chebet amelazwa hospitalini

- Hata hivyo haijabainika anaugua ugonjwa upi wala amelazwa katika hospitali ipi

-Ni hivi majuzi tu ambapo mama huyo mwenye watoto wawili alisisimua mitandao ya kijamii kwa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake kwa njia ya kipekee

Aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Citizen Terryanne Chebet amewaarifu wafuasi wake kupitia ukuarasa wake wa Instagram kwamba amelazwa hospitalini.

Habari Nyingine :

Terryanne hakusema hospitali aliolazwa wala anaugua ugojwa upi ila alimshukuru Mungu kwa

uhai na kumwezesha kuwaona watoto wake waliomtembelea hospitalini.

Kulingana na mama huyo ambaye pia ni mfanyabiashara, watoto ndio nguzo yake na kila mara anaposononeka, huwa wanamjaza na furaha.

Habari Nyingine:

"Leo ni siku yangu ya pili tangu nilipolazwa hospitalini, nimefurahi kuwaona watoto wangu walionitembelea na kweli wamefanya nijihisi nimepona," Terryann aliandika Instagram.

Habari Nyingine:

Itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Terryanne alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee kule Pwani akiwa ameandamana na watoto wake na baadhi ya marafiki wake wa karibu.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Hapa TUKO.co.ke tunamtakia kila la heri na tunamuombea apate nafuu.

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Read More

Category: topnews news

Suggested

7 hours ago, 20:12
@Tuko - By: Erick Kombo Ndubi
Thieves steal KSh 5 million HIV kits from Murang’a hospital

The theft was reported by the medical superintendent Kanyi Gitau on Friday, July 13 after the hospital was in the process of assisting Kirinyaga county with the kits. Among those who have recorded sta ...

Category: topnews news
8 hours ago, 19:26
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Wanahabari wazuiwa kuingia JKIA huku rais mstafu wa Marekani, Barack Obama akiwasili nchini

Aliyekuwa rais wa 44 wa Marekani Barack Obama alitua katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa JKIA hii leo Jumapili Julai 15 saa saba unusu mchana na anatarajiwa kukutana na rais Uhuru Kenyatta na kiong ...

Category: topnews news
5 hours ago, 22:05
@Tuko - By: Rene Otinga
Mudavadi launches vote hunt in coast, declares 2022 presidential bid

Amani National Congress Party leader Musalia Mudavadi on Saturday, July 14, brought a new dynamic to the 2022 presidential race after declaring his interest in the seat. He spoke the Pentecostal Assem ...

Category: politics news topnews
5 hours ago, 21:57
@Tuko - By: Jacob Onyango
It is not true I declined Uhuru's job offer - former minister Ochilo Ayacko

Ochilo Ayacko who faced off with Zachary Obado in the August 2017 Migori County gubernatorial race and lost, sought to set the record straight on what he claimed actually happened with the president's ...

Category: topnews news politics
9 hours ago, 17:48
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Soshalaiti maarufu akiri kuwa yeye ni mke wa pili baada ya kushambiliwa na mke mweza wake

Sosholaiti Amber Ray ama kwa majina yake kamili Faith Mutua amekiri hadharani kwamba yeye ni mke wa pili ila mambo sio rahisi kwake.Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochip ...

Category: topnews news
7 hours ago, 20:25
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Michelle skips Obama Kenya tour after a week of holidaying in Tanzania

Former US President Barrack Obama's wife, Michelle Obama, has skipped the Kenya tour shortly after spending a week in Serengeti National Park, Tanzania. The visiting former president jetted into the c ...

Our App