@Tuko

Sukari iliyonaswa Eastleigh ina madini hatari kwa binadamu

2 months ago, 13 June 19:08

By: Francis Silva

- Matiang'i alisema visa vinavyoendelea nchini vya uhalifu vinatisha sana na kuahidi kukabiliana na wote wanaotokeleza uharamia wa kuleta nchini sukari hatari kwa afya

- Wataalamu wa kukagua kemikali walisema kuwa karibia magunia 1,030 ya sukari yenye sumu yalinaswa

Serikali imeimarisha vita dhidi ya sukari isiyokuwa salama inayoingizwa humu nchini hii ni baada ya sukari inayosemekana kuwa yenye sumu kunaswa.

Ufichuzi huu unajiri baada ya Shirikisho la Watumiaji Bidhaa (Cofek) Jumapili, Juni 10, kuwatahadharisha Wakenya dhidi ya sukari hatari inayouzwa madukani.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Katika video ya Twitter kutoka kwa Huduma ya Taifa ya Polisi ambayo TUKO.co.ke imeitizama, Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i alisema uhalifu unaofanywa na Wakenya unashtua mno na wahusika watakabiliwa vikali.

Habari Nyingine:

Matiang'i alisema viwango vya uhalifu unaotekelezwa na Wakenya unashangaza sana. Picha: Fred Matiang'i/ Facebook

“Binafsi nimeshtuka kuhusu tunachokifanyia taifa hili. Inasikitisha,” Matiangi alisema wakati akiwa katika makao makuu ya DCI.

Waziri alisema Rais Uhuru Kenyatta anaunga mkono zaidi shughuli za wizara ya masuala ya ndani kuhusu vita dhidi ya uhalifu wa uingizaji nchhini sukari haramu na kwamba wahusika watakabiliwa vikali.

Habari Nyingine:

Habari Nyingine:

"Wakati unawauzia Wakenya sumu ukisema ni sukari, na unatengeneza pesa, unafanya uhalifu wa kumbari," Matiang'i alionya.

"Uhalifu huu umeendelezwa kwa muda mrefu. Tutafanya inavyostahili hadi mwisho. Wakati huu, mambo yatakuwa tofauti," alisema.

Waziri alisema baada ya uchunguzi wa wataalamu wa kukagua kemikali, ilipatikana kuwa, karibia magunia 1,030 ya sukari iliyonaswa yalikuwa na madini ya bati na zebaki.

Habari Nyingine: Makachero kutoka Kitengo cha Uchunguzi wa Jinai (DCI) na wachunguzi wengine walivamia bohari moja katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, Juni 4, na kukuta zaidi ya magunia 1,400 ya sukari haramu na bidhaa nyingine.

Read

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Read More

Category: topnews news

Suggested

3 hours ago, 19:33
@Tuko - By: Joshua Kithome
Siku maalum ya kudhihirisha kuwa hakuna Mungu kutengwa

Kundi la wapinga Mungu nchini likiongozwa na kiongozi wao Harrison Mumia imeitaka serikali kutangaza Februari 17 kila mwaka kuwa siku kuu ya kitaifa kwa wasiomwamini Mungu wala kiumbe au miungu mingin ...

Category: topnews news
3 hours ago, 19:17
@Tuko - By: Joshua Kithome
Mlinzi wa Wetang'ula ajeruhiwa baada ya kupigwa risasi kwenye mazishi

Watu saba akiwemo mlinzi wake seneta wa Bungoma, Wetang'ula wanauguza majeraha baada ya kupigwa risasi kwenye mazishi yake aliyekuwa dereva wa mbunge wa Likuyani, Enock Kibunguchy katika eneo la Kimin ...

Category: topnews news
1 hours ago, 21:35
@Tuko - By: Erick Kombo Ndubi
Motorists threaten to block Nairobi roads over high fuel prices

Motorist Association of Kenya have called on drivers to park vehicles on the roads in Nairobi and walk away on Wednesday, August 22. In their notice the association said they are protesting against hi ...

Category: topnews news
1 hours ago, 21:29
@Tuko - By: Erick Kombo Ndubi
Motorists threaten to park vehicles on roads over high fuel prices

3 hours ago, 20:04
@Tuko - By: Tuko.co.ke
Family exhumes body of kin to allow construction of Webuye-Kakamega road

Officers from Kenya Rural Roads Authority (KeNHA) gave the family a three-day notice saying the body of the late Christabel Chimoti alias Auma was buried along Webuye-Kakamega road which is under cons ...

Category: topnews news
2 hours ago, 21:07
@Tuko - By: Philip Mboya
Mwanasiasa wa Bungoma ajawa hofu, wasiojulikana wamwaga damu nyumbani kwake

Mwanasiasa mmoja wa Bungonma anaishi kwa woga kubwa baada ya watu wasiojulikana kumwaga damu nyumbani kwake kwa njia ya kufanya tambiko. Elvis Abuka, alizungumza na jarida la TUKO.co.ke na kuthibitish ...

Our App