@Tuko

Sheria za Michuki zaanza kuchuna, 6 wakatamwa kwa kuingia gari lililojaa

6 days ago, 11:08

By: Francis Silva

- Abiria hao sita waliingia gari lililokuwa limejaa Migori na watafikishwa kortini ili kuwa funzo kwa wengine

- Wengine waliokamatwa kwa kuvunja sheria za trafiki ni dereva na kondakta wake

Zaidi ya watu 30 Kaunti ya Migori wameshtakiwa kwa kuvunja sheria za trafiki huku serikali ikianza kuweka mikakati ya kuregesha sheria za barabarani.

Miongoni mwa waliokamatwa Alhamisi, Novemba 8, ni abiria 6 waliokuwa wameabiri gari lililokuwa limejaa.

Habari Nyingine :

Miongoni mwa waliokamatwa ni abiria 6 walioingia gari lililokuwa limejaa. Picha: UGC

Habari Nyingine :

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

OCPD wa Migori Patrick Macharia alithibitisha kukamatwa kwa watu hao na kusema watafikishwa kortini, Citizen TV iliripoti.

Kulingana na Macharia, tayari magari 25 ya uchukuzi wa umma yamekamatwa tangu hatua za kuregesha sheria barabarani kuanza kutekelezwa.

Habari Nyingine :

Kwa sasa polisi wanafanya maandalizi ya kuanzisha tena sheria za barabarani ambazo kwa muda zilikuwa zimepuuzwa na magari kadha yamekamatwa. Picha: UGC

Alisema kukamatwa kwao ni onyo kali kwa wanaovunja sheria na abiria na wahudumu wa matatu wote watakabiliwa vikali.

Sheria zilizokuwa zimepuuzwa zinatazamiwa kuanza kuregeshwa Jumatatu, Novemba 12, na maafisa wa trafiki watakuwa makini sana kukabiliana na yeyote atakayezivunja sheria ambazo zimekuwapo kwa muda wa miaka 15 sasa.

Habari Nyingine :

Katika sheria hizo, magari yoye ya PSVs ni lazima kuwa na rangi moja na kuzungushwa mustari wa manjano, kifaa cha kudhibiti mwendo, mikanda ya usalama, wahudumu kuwa na sare na kila gari kuwa katika shirika miongoni mwa sheria zingine.

Wenye magari yatakayovunja sheria hizo, watakabiliwa na faini kubwa na hata kifungo cha gerezani.

Read

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Read More

Category: topnews news

Suggested

10 minutes
@Tuko - By: Francis Silva
Watahiniwa wa KCSE wakamatwa na misokoto ya bangi katika ukumbi wa mitihani

Kamanda wa Polisi (OCPD) Yatta, Erick Ngetich alisema, itawalazimu watahiniwa hao kufanyia mitihani yao katika kituo cha polisi. Ngetich aliendelea kusema kuwa, watahiniwa hao walipelekwa katika kituo ...

Category: topnews news
1 hours ago, 09:50
@Mpasho - By: Neema Amani
Mjulubeng moja haitoshi! Why Kenyan women are marrying two husbands

Kenya has in the past two months been treated to the spectacle of women with two husbands. Polyandry, like polygamy, is the marital or social relationship in which a woman is married and may cohabit w ...

Category: entertainment news lifestyle topnews
1 hours ago, 09:50
@Tuko - By: Ryan Mutuku
KCSE grading system 2018

The ★KCSE GRADING SYSTEM★ is used to evaluate the performance of students after secondary school education in Kenya. Learn how the Kenya National Examinations Council grades students based on their sc ...

Category: topnews news
1 hours ago, 09:50
@Tuko - By: Francis Silva
Mama amswaga baba kwa jembe Kakamega na kumuua kufuatia ugomvi

Susan Shikuku alimpiga mume wake Benjamin Shikuku kwa jembe na kumuacha na majeraha mabaya. Chifu wa eneo hilo alithibitisha kisa hicho na kwamba mara kadha walijaribu kusuluhisha migogoro kati yao la ...

Category: topnews news
1 hours ago, 09:27
@Tuko - By: Francis Silva
Obado alijaribu kumfuata Ruto na kuwakwepa makachero wa DCI kabla ya kukamatwa

Imebainika wazi kwamba, Gavana wa Migori Okoth Obado alijaribu kuwakwepa polisi waliokuwa wakimuandama katika Hoteli ya Hilton, Nairobi alikokuwa akihudhuria kongamano la bishara na uwekezaji kabla ya ...

Category: topnews news
2 hours ago, 09:17
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Daktari bandia Mugo wa Wairimu kusalia kizuizini kwa siku 10

Daktari bandia Mugo wa Wairimu alifikishwa mbele ya mahakama kuu ya Milimani siku moja baada ya kukamatwa na mafisa wa kitengo cha Flying Squad akiwa mafichoni kule Gachie kaunti ya Kiambu. Pata habar ...

Our App