@Tuko

Seneta wa Meru aonywa dhidi ya kuwasiliana na mkewe baada ya kutishia kumuua

1 months ago, 15 Nov 07:52

By: Lauryn Kusimba

-Seneta huyo ataruhusiwa kuwasiliana na mkewe panapo amri kutoka mahakamani

- Mkewe alipatiwa baadhi ya makazi ya seneta huyo na kumtaka asikaribie mahali popote anakokwenda

- Hii ni baada ya mkewe Mithika kumshtaki katika makao makuu ya upelelezi, DCI kwa madai kwamba alimtishia maisha

Mkewe seneta wa Meru Mithika Linturi amepata afueni baada ya mahakama kutoa amri kadhaa kufuatia vitisho vya seneta huyo vya kutaka kumuua.

Linturi sasa ametahadharishwa na korti dhidi ya kumtishia maisha mkewe, watoto wao watano au mtu yeyote ambaye ni jamaa wake.

Kulingana na amri hiyo ya korti, Maryanne Keitanny pia aligaiwa baadhi ya makazi ya seneta huyo ambapo atakua akiishi na watoto wao sita.

"Seneta ameonywa dhidi ya kumtishia maisha mkewe, wala watoto wake au mtu yeyote wa familia yake," Hakimu wa mahakama kuu ya Milimani alisema

Linturi pia alitakiwa kumruhusu mkewe kuingia nyumbani kwake akiwa chini ya ulinzi mkali ili kumwezesha achukue bidhaa zake.

Mahakama pia ilimtahadharisha Linturi dhidi ya kukaribia makazi au mahali popote anakokwenda mkewe.

Aidha, Linturi hataruhusiwa kumpigia mkewe simu wala kuwasiliana naye kwa njia yoyote ile pasipo na amri kutoka kortini.

Seneta huyo ambaye anamiliki bastola kihalali, anasemeka kumtisha mkewe maisha kwa kutaka kupiga risasi baada ya ugomvi wa kinyumbani kuzuka katika yao.

Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 13:33
@Tuko - By: Samuel Maina
List of the latest movies Hollywood has given us in 2018

Looking for the ★LATEST MOVIES HOLLYWOOD★? Look no more. If you are a movie fan then you should definitely check this out this list of the most recently released Hollywood movies. From action to anima ...

Category: topnews news entertainment
29 minutes
@Tuko - By: Francis Silva
Dereva anayedaiwa kuwa mlevi aua mtu, atoroka na kuliacha gari lake

Inadaiwa John Chege alikanyagwa na gari la dereva mlevi Jumamosi, Desemba 15 na sasa dereva, Bernard Moseti Nyamoko analaumiwa kwa kusababisha ajali hiyo kisha kutoweka na kuliacha gari lake aina ya T ...

Category: topnews news
7 minutes
@Tuko - By: Francis Silva
Baba yake Diamond amwaga machozi akiomba pesa za matibabu

Katika mahojiano na Mwanachi, Ijumaa, Desemba 14, Juma alisema alipatwa na maumivu katika goti lake na baadaye hali hiyo imemfanya kukaa chini asiweze kutembea.Kulingana naye, muda wake mwingi yupo ki ...

Category: topnews news
1 hours ago, 13:11
@Tuko - By: Christopher Oyier
Mutahi Ngunyi adai maridhiano yanalenga kumwangamiza Ruto kisiasa kabla ya 2022

Mwanasayansi wa siasa Mutahi Ngunyi amedai kuwa huenda maridhiano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa upinzani Raila Odinga ni njama ya kumwangamiza naibu wa rais William Ruto akiongeza kuwa juhu ...

Category: topnews news
2 hours ago, 12:30
@Tuko - By: Francis Silva
Ukweli kuhusu video ya mahaba inayodaiwa kunaswa Imenti House, Nairobi

Katika kusaka ukweli wa mambo, TUKO.co.ke imezama na baada ya kuzama imeibuka na amepata kuwa, video hiyo ilipogolewa kutoka mtandao wa video za ngono, na wala si katika duka la nguo Imenti House iliv ...

Category: topnews news
3 hours ago, 11:40
@Tuko - By: Fred Kennedy
Ex-Man United star Neville claims Mourinho will be fired after Liverpool defeat

Man United legend Gary Neville expects club boss Jose Mourinho to be fired in the coming days after the Red Devils were battered 3-1 at Liverpool. Neville is still unhappy with some of the decisions m ...

Category: sports news topnews

Our App