@Tuko

Ruto ndiye mhusika mkuu wa sukari haramu na hatari – Nazlin Umar

6 months ago, 18 June 07:53

By: Christopher Oyier

-Nazlin anamtaka Rais Kenyatta kuhakikisha kuwa naibu wake William Ruto amekamatwa

-Alisema kuwa Ruto alimharibia Uhuru jina kutokana madai ya sakata ya sukari

-Alidai Ruto ndiye mhusika mkuu kwenye sakata za mahindi, mambomba na umeme

-Nazlin alidai kuwa alilengwa kuangamizwa kama Jacob Juma kwa kufichua uhalifu na ufisadi

Aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha urais Nazlin Umar alifichua silaha yake dhidi ya naibu wa rais William Ruto kwa kudai kuwa naibu wa rais alihusika pakubwa kwenye sakata ya sukari haramu nchini.

Jumapili, Juni 17, Nazlin alimtaka Ruto pamoja na wandani wake washtakiwe kwa kuleta nchini sukari haramu na hatari.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Kulingana naye, Ruto alitumia wadhifa na ushawishi wake serikalini kuwatishia wapelelezi dhidi ya kufichua maasi yake ya kifisadi.

Habari Nyingine:

Aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha urais Nazlin Umar amedai kuwa naibu wa Rais William Ruto alistahili kushtakiwa akidai kuwa alifaidi kutokana na sakata ya sukari yenye sumu. Picha: Facebook/ Nazlin Umar

Habari Nyingine:

“William Samoei Ruto ndiye mhusika mkuu na aliyefaidi kutokana na sukari yenye sumu pamoja na wandani wake. Nimesema kile viongozi wengine wameogopa kusema.

“Wakamateni Ruto na mwandani wake mlafi. Tuache kudanganyana na kuwaandama wanaopinga vitendo vya Ruto.” Nazlin aliandika.

Habari Nyingine:

Alisema kuwa Ruto alimharibia jina Rais Uhuru Kenyatta kwa sakata hiyo ya sukari na ikiwa rais hatachukua hatua ya haraka, basi atakumbukwa kwa ufisadi tu atakapostaafu mwaka wa 2022.

Nazlin alimsuta naibu wa rais kwa kutumia uungwaji mkono wa kabila lake kuendeleza uhalifu.

Habari Nyingine:

“William Ruto anajua yuko karibu kuangamizwa na anapora mali pamoja na kujiandaa kwa vita vya kikabila na kusababisha mauti ya halaiki kama alivyofanya 2007 ikiwa Uhuru atatangaza uhalifu wake au kumsimamisha kazi. Hakuwa na njia nyingine.” Nazlin alidai.

Mwanasiasa huyo pia alidai naibu wa rais alihusika kwenye sakata za mahindi, mabomba na umeme zilizoshuhudiwa nchini.

Chama cha watumizi wwa bidhaa (Cofek) Juni 10, kilifichua habari za sukari hiyo yenye sumu iliyouzwa kwenye maduka ya jumla ya maduka madogo.

Habari Nyingine:

Ripoti za hapo awali za TUKO.co.ke zilionyesha kuwa mzigo wa kwanza wa sukari hiyo ulinaswa eneo la Eastleigh, Nairobi.

Uchunguzi wa kemikali wa serikali ulipata sukari hiyo kuwa na chembechembe za zebaki na shaba.

Mzigo huo wa gunia 1,474 (kilo 50) ya sukari uliandikwa kuwa haukustahili kutumiwa na binadamu.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Mahojiano na Peter Peter: Kutoka kuwa utingo hadi kuwa na biashara ya thamani ya KSh 13.5 milioni |

Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 16:54
@Tuko - By: Rene Otinga
Kalenjin elite refuse to back leaders implicated in corruption scandals

They have further advised Kenyans to resist attempts by some leaders to politicize the ongoing war on graft, dismissing as baseless as claims that the prosecution of individuals believed to have misap ...

Category: topnews news politics
2 hours ago, 16:32
@Mpasho - By: Queen Serem
Unyama! Kinoo parish priest, Father Samuel Muhia shot dead

A Catholic priest has been shot dead by thugs in Kinoo, Kiambu.The attackers stole an unknown amount of money from the Father Samuel Muhia who was in charge of Kinoo parish. ...

Category: topnews news lifestyle entertainment
1 hours ago, 16:54
@Tuko - By: Francis Silva
Huduma za M-Pesa zalemaa tena

Huduma hizo za kampuni ya mawasiliano ya Safaricom, zilikwama kwa muda Jumatatu, Desemba 10, na kampuni hiyo kwa mara nyingine tena kuthibitisha kutokea hali hiyo. Hata hivyo huduma hizo ziliregeshwa ...

Category: topnews news
1 hours ago, 16:43
@Tuko - By: Philip Mboya
Jamaa amfurusha mkewe siku 2 baada ya harusi, adai mtu aliifungua 'sava'

Wiki jana wawili hao walifunga pingi za maisha kwa sherehe ya aina yake na kuanza maisha ya ndoa rasmi baadaye. La kushangza ni kuwa jamaa alimtimua mkewe siku mbili baada ya harusi hiyo akidai kuwa m ...

Category: topnews news
2 hours ago, 16:23
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Diamond Platnumz's mum pushes musician to get married, says he's getting too old

It is never easy for an African woman to get the approval of her mother-in-law because most of the time she is viewed as an intruder. However, Kenya’s very own Tanasha Donna Oketch has received a thum ...

Category: topnews news entertainment
2 hours ago, 15:49
@Tuko - By: Francis Silva
Abiria wanusurika kifo baada ya ndege kuingia katika kundi la ndege wanyama

Ndege hiyo ilikumbana na ndege (wanyama) hao wakati ikitua na ndamu iliyotapakaa kwenye madirisha ya mbele kuwatatiza rubani. Ndege hao walikwama katika injini ya ndege hiyo na kutatiza vifaa vya kupu ...

Our App