@Tuko

Rais wa Marekani Trump amfuta kazi Waziri Tillerson punde tu baada ya kuzuru Kenya

8 months ago, 13 Mar 19:54

By: Francis Silva

Rais wa Marekani Donald Trump amefukuza kazi Waziri wa mambo ya nje, Rex Tillerson. Trump amemshukuru Tillerson na kumpa Waziri mpya wa Mambo ya nje Mike Pompeo kazi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya White House, Trump amesema tofauti baina yake na Tillerson ni za kibinafsi Rais wa Marekani Donald Trump amefukuza kazi Waziri wa mambo ya nje, Rex Tillerson na kumteua mkuu wa wa Shirika la Kijasusi, CIA, Mike Pompeo. Habari Nyingine: Rais wa Marekani Donald Trump amefukuza kazi Waziri wa mambo ya nje, Rex Tillerson Picha: BBC/Twitter Kupitia akaunti yake ya Twitter, Trump amemshukuru Tillerson kwa kazi yake na kusema Waziri mpya wa Mambo ya nje atafanya "kazi nzuri". Bw Tillerson, aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya mafuta ExxonMobil, aliteuliwa kufanya kazi hiyo mwaka jana. Rais Trump pia amempendekeza Gina Haspel kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa CIA. Habari Nyingine: Taarifa ya Wizara ya mambo ya ndani ambayo TUKO.co.ke imeisoma, imesema Bw Tillerson hakuwa amezungumza na Rais na hakufahamu sababu za kufutwa kazi. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya White House, Jumanne Trump amesema tofauti baina yake na Tillerson zilikuwa za kibinafsi. Wakati akitimuliwa, Tillerson alikuwa katika ziara rasmi ya barani Afrika ambayo ilianza wiki jana, na alipokea habari za Trump kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un bila ya ufahamu wake. Rex Tillerson alikutana na Rais Uhuru Kenyatta wakati wa ziara yake Kenya Picha:Uhuru Kenyatta/ Facebook Habari Nyingine: Alipokuwa Kenya kwa ziara yake ya siku tatu, Tillerson alikutana na Rais Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi na kufanya mashauriano naye. Jumamosi alipatwa na maradhi ya ghafla na kufuta shughuli zake. Kwenye ziara yake, Tillerson alitembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria na Kenya na ilikuwa ziara yake ya kwanza Afrika. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

3 hours ago, 22:35
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Mfanya biashara mashuhuri kutoka Machakos auawa kwa njia tatanishi

Mfanya biashara mashuhuru na pia mkandarasi mkuu kutoka kaunti ya Machakosi alipatikana akiwa ameuawa ndani ya gari lake karibu na soko ya Kanyonyoo kata ndogo ya Masinga Jumatano Novemba 14. TUKO.co. ...

Category: topnews news
3 hours ago, 21:51
@Tuko - By: Rene Otinga
Raila Odinga postpones highly anticipated opening of Busia Sugar Industry

ODM party leader Raila Odinga has postponed the official opening of the infamous Busia Sugar industry whose operations have been in limbo for years since its establishment. Raila was expected to offic ...

Category: topnews news
4 hours ago, 21:29
@Tuko - By: Tuko.co.ke
Bungoma brothers kill their younger brother over land

A village in Bungoma county is in mourning after two brothers killed their brother over a piece of land owned by their father. TUKO.co.ke understands the three brothers from the family of Mzee Oganyo ...

Category: topnews news
4 hours ago, 21:18
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Polisi amuua mkewe kwa kumpiga risasi baada ya kumgonga na nyundo kinywani

Afisa mmoja wa polisi aliyemuua mkewe kwa kumpiga risasi baada ya ugomvi wa kinyumbani kuzuka kati yao anauguza majeraha mabaya katika hospitali ya rufaa ya Kisii.Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata ...

Category: topnews news
4 hours ago, 21:06
@Tuko - By: Linda Shiundu
X common reasons ladies over 30 years give for being single

The pressure to get married within a specific age bracket is common among African communities, who have placed extreme values on marriage, Kenya not left out. With time most of the highly held values ...

Category: entertainment news topnews
5 hours ago, 20:21
@Tuko - By: Philip Mboya
Kanze Dena anenepa na kurembeka zaidi baada ya kupata kazi nono Ikuluni

Miezi michache tu baada ya kuangukia dili hiyo, imebainika kuwa Kanze amenenepa zaidi na urembo wake kuongezeka maradufu. Akivalia rinda la pinki, Kanze alionekana kuvutia ajabu uso wake ukimeta meta ...

Our App