@Tuko

Mwanamke akataa kusahau mpenzi wa zamani katika ndoa

4 months ago, 17 Apr 06:30

By: Tina Mutinda

Mwanamume mmoja kutoka Nigeria anasema kuwa anahisi kusalitiwa na mkewe baada ya kugundua siri yake.Mwanamume huyo wa umri mdogo aligundua kuwa mkewe alimpa mwana wao wa kwanza jina la aliyekuwa mpenzi wa kwanza Mwanamke huyo alikuwa amemficha siri hiyo tangu mtoto huyo alipozaliwa. Katika ukurasa wa Instagram kuhusu uhusiano wa kimapenzi alieleza kuwa alihisi chuki cha kusalitiwa na mkewe kutokana na kitendo hicho. Habari Nyingine: Alieleza kuwa mkewe alimwambia rafikiye kuhusu jina la mtoto wao wa miaka mitano. Rafiki huyo alimwuliza ikiwa alikuwa amempa mtoto wao jina la mpenzi wake wa zamani akiwa shuleni. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Aliongeza kuwa jina la mwanawe halina watu wengi kwani hajawahi kukutana na mtu aliye nalo. Mwanamume huyo alieleza kuwa tangu mkewe kugundua kuwa alijua kuhusu siri hiyo, aliacha kuongea naye. Habari Nyingine: Kulingana naye, hawezi kumchukulia kama alivyokuwa akimchukulia awali. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

5 hours ago, 22:19
@Tuko - By: Christopher Oyier
Vifo vya wagonjwa waliopewa dawa zisizostahili vimeongezeka – Chama cha mafamasia wa Kenya

Mwenyekiti wa chama cha mafamasia nchini (KPA) Patrick Adera aliiambia TUKO.co.ke kuwa idadi ya mafamasia na wataalamu wa kifamasia ukilinganishwa na taaluma zingine iko chini sana, hali iliyowafanya ...

Category: topnews news
6 hours ago, 21:39
@Tuko - By: Joshua Kithome
Ni kweli kuwa wabunge walihongwa kubatilisha ripoti ya sukari - Mbunge wa Jubilee

Mbunge wa Naivasha, Jayne Kihara ndiye mbunge wa hivi punde kuyathibitisha madai kuwa wabunge katika Bunge la Kitaifa walihongwa ili kuitupilia mbali ripoti ya sukari iliyokuwa imewaandama mawaziri wa ...

Category: topnews news
4 hours ago, 23:51
@Tuko - By: Michael Ollinga Or ...
Uhuru orders incoming PS to clean up corruption-riddled NYS

President Uhuru Kenyatta has directed newly appointed Youths and Gender Principal Secretary Francis Otieno Owino to clean all the mess in the corruption laden National Youth Service to ensure Kenyan y ...

Category: topnews news politics
5 hours ago, 22:32
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Man who allegedly slept with 13 MPs excites social media with birthday message to Sabina Chege

Waziri Chacha, the man famous for allegedly ploughing 13 female MPs is back at it with his tricks and tackles. The celebrated member of the infamous team mafisi decided to wish Murang'a Woman Rep Sabi ...

Category: topnews news
6 hours ago, 21:53
@Tuko - By: Asher Omondi
I will criticise demolitions of illegal building despite friendship with Uhuru - Governor Waititu

Kiambu Governor Ferdinand Waititu has vowed to fight demolitions of illegal structures on riparian land even if he will pay a huge political price. Waititu who previously asked President Uhuru Kenyatt ...

Category: topnews news politics
4 hours ago, 23:55
@Tuko - By: Christopher Oyier
IMF inaweza kusalia na mkopo wake wa KSh 150 bilioni, Kenya haihitaji pesa hizo - Mshauri wa Rais

Kenya imekataa mkopo wa bima wa KSh 150 bilioni kutoka kwa shirika la kimataifa la fedha (IMF) baada ya kutofautiana kuhusu masharti ya mkopo huo.Pesa hizo zililengwa kutumiwa kuzuia shilingi ya Kenya ...

Our App