@Tuko

Muigizaji maarufu Tonto Dinke awashambulia hadharani waume wasioweza kuchovya asali kwa zaidi ya dakika 1

9 months ago, 13 Mar 19:32

By: Philip Mboya

Mtumbuizaji maarufu wa Nigeria ameipachika mtandaoni chapisho la mwigizaji maarufu wa Nollywood Tonto Dinke aliyewavamia wanaume wasioweza kumaliza mwendo mahaba Muigizajji maarufu wa Nollywood amewavamia wanaume ambao hawawezi kuwaridhisha wapenzi wao kuhusiana na masuala ya kuchovya asali. Alidai kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao huweza kusoma katiba kwa dakika moja tu. Msanii huyo ameeleza kuwa mume yeyote ambaye hawezi kusoma katiba kwa dakika 30 ana jukumu la kutafiti zaidi. Habari Nyingine: Makala hayo ambayo yalichapishwa na Ednut yalieleza kuwa kila mume asiweza kuchovya asali kwa muda wa dakika 30 lazima achukua wakati wake katika kuutumbuiza mzinga kwa muda kabla kuanza kuchovya. Habari Nyingine: ‘’ Najua kuwa hakuna mwanamke yeyote ambaye anampenda mume wa dakika moja. Nafikiri kuwa unapaswa kujifunza kuhusu mchezo wa kabla kuchovya na uelewe vizuri hisia za mkeo. Kinachomwasha mke A ni tofauti na kinamwamsha mke B! Wanaume wengi hufikia kuwa wanawake wote wako sawa. Zaidi ya 50% wa wanawake hawafurahii mashambulizi ya waume wao lakini wanawake hawaruhusiwi kulizungumzia kwa maana tumefanywa kuamini kuwa hatuna haki!.’’ Aliandika. Habari Nyingine: Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muragueri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hour ago
@Tuko - By: Jacob Onyango
Lab test reveals fish imported from China contaminated with deadly toxics

A laboratory test has revealed samples of fish imported to the East African region from China are contaminated with heavy metals, which pose serious health risks to the consumers of the imported Chine ...

Category: topnews news
16 minutes
@Tuko - By: Mary Achebe
Simple and effective tips that will make you a pro at freestyle swimming

Do you want to learn ⭐HOW TO SWIM⭐ freestyle? This article has comprehensively given a complete guideline on how to go about it for a new swimmer. Check it out and follow it to emerge as the best free ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Tuko - By: Muyela Roberto
MP Didmus Barasa says Raila has outlived his political usefulness, should retire

In an earlier address, the lawmaker had claimed leaders allied to Raila had developed arrogance and used his handshake with President Uhuru Kenyatta to abuse and undermine the work of Deputy President ...

Category: topnews news
16 minutes
@Tuko - By: Linda Shiundu
Truth about leaked viral adult video allegedly shot at Imenti House, Nairobi

So a viral video of a couple having their adult moments at a clothes shop alleged to be at Imenti house has been the talk of town the entire weekend. Online detectives even went on to curry out their ...

Category: topnews news
1 hours ago, 10:04
@Tuko - By: Francis Silva
Umbo jipya la aliyekuwa ‘ex’ wa Diamond Platnumz legeuka gumzo kubwa mitaani

Kuna mashabiki wake ambao hadi sasa bado wanaamini alifanyiwa upasuaji wa kiteknolojia ya kisasa kupunguza mafuta tumboni. Pia inadaiwa upasuaji aliofanyiwa unamzuia kula bila ya kujiwekea viwango na ...

Category: topnews news
11 hours ago, 23:31
@Tuko - By: Rene Otinga
Comedian Njugush hints at baby number two in beautiful message to wife

It is quite rare to speak of a perfect love story In the showbiz world but with renown comedian Njugush, it doesn’t come more splendid than this. The funnyman tied the knot with his long term bae Cele ...

Category: topnews news entertainment

Our App