@Tuko

Benjamin Mendy wa Machester City arudi uwanjani kwa kishindo wiki chache baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti

9 months ago, 13 Mar 21:22

By: Philip Mboya

ejamin Mendy ameingia kwenye nyumba yake ya kifahari aliyoinunua hivi majuzi Mlinzi sugu wa klabu ya Manchester City amerudi uwanjani baada ya kupata afueni Mendy hajaonekana uwanjani kwa muda, hii ni baada ya kupata jeraha uwanjani hapo awali Mlinzi sugu wa klabu ya Manchester City ameingia katika jumba lake la kifahari lilomgharimu Ksh 680 milioni Benjamin Mendy ambaye alifanyiwa upasuaji wa goti baada ya kupata jeraha sasa amerudi mwangani kwa kishindo huku akiingia katika jumba lake la kifahari. Habari Nyingine: Unasemekana kuwa eneo lililoko jengo hilo ndilo ghali mno kote Kaskazini. Nyumba hiyo ilimilikiwa na meneja wa wa Manchester City Mark Hughes na inadiwa kuwa alikuwa na mpango wa kuijenga upya. Habari Nyingine: Jumba hilo ambalo lina vyumba 6 vya kulala, eneo la mazoezi, eneo la kuogelea litamfaa mchezaji huyo kwa mazoei na mambo mengine muhimu. Habari Nyingine: Mendy sasa atakuwa na nafasi ya kuwa katika kiwango sawa na Wayne Rooney, Robbie Savage ambao ni majirani wake katika eneo hilo. Mendy anatarajiwa kushiriki kwenye mchuono ujao baada ya kuhakikishiwa kuwa hali yake sasa i shwari Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hour ago
@Tuko - By: Jacob Onyango
Lab test reveals fish imported from China contaminated with deadly toxics

A laboratory test has revealed samples of fish imported to the East African region from China are contaminated with heavy metals, which pose serious health risks to the consumers of the imported Chine ...

Category: topnews news
14 minutes
@Tuko - By: Mary Achebe
Simple and effective tips that will make you a pro at freestyle swimming

Do you want to learn ⭐HOW TO SWIM⭐ freestyle? This article has comprehensively given a complete guideline on how to go about it for a new swimmer. Check it out and follow it to emerge as the best free ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Tuko - By: Muyela Roberto
MP Didmus Barasa says Raila has outlived his political usefulness, should retire

In an earlier address, the lawmaker had claimed leaders allied to Raila had developed arrogance and used his handshake with President Uhuru Kenyatta to abuse and undermine the work of Deputy President ...

Category: topnews news
14 minutes
@Tuko - By: Linda Shiundu
Truth about leaked viral adult video allegedly shot at Imenti House, Nairobi

So a viral video of a couple having their adult moments at a clothes shop alleged to be at Imenti house has been the talk of town the entire weekend. Online detectives even went on to curry out their ...

Category: topnews news
1 hours ago, 10:04
@Tuko - By: Francis Silva
Umbo jipya la aliyekuwa ‘ex’ wa Diamond Platnumz legeuka gumzo kubwa mitaani

Kuna mashabiki wake ambao hadi sasa bado wanaamini alifanyiwa upasuaji wa kiteknolojia ya kisasa kupunguza mafuta tumboni. Pia inadaiwa upasuaji aliofanyiwa unamzuia kula bila ya kujiwekea viwango na ...

Category: topnews news
11 hours ago, 23:31
@Tuko - By: Rene Otinga
Comedian Njugush hints at baby number two in beautiful message to wife

It is quite rare to speak of a perfect love story In the showbiz world but with renown comedian Njugush, it doesn’t come more splendid than this. The funnyman tied the knot with his long term bae Cele ...

Category: topnews news entertainment

Our App