@Tuko

Mke ashangaza mumewe baada ya kumchukulia mke mwenza hatua ya ajabu

4 months ago, 17 Apr 06:46

By: Tina Mutinda

Mwanamke mmoja kutoka Nigeria ameonyesha kiwango anachompenda mumewe.Mwanamke huyo alimwandalia sherehe ya kukata na shoka mke wa pili wa mumewe ili kumkaribisha nyumbani Mwanamke mmoja anayempenda mumewe kupita kiasi amekuwa mada mtaani kwa kile alichokifanya. Mwanamke huyo alimshtua mumewe(kwa njia nzuri) alipofika nyumbani akiwa ameandamana na mkewe wa pili. Habari Nyingine: Alionyesha mapenzi yake kwa mumewe kwa kumwandalia mkewe mpya sherehe ya kukata na shoka. Alionekana kufurahia sana ndoa hiyo ya mke wa pili na kufurahikia kupata mke mwenza. Habari Nyingine: Picha zao ziliwekwa katika mtandao wa Instagram ambapo mwanamke huyo alionekana kumlisha chakula mke mwenza. Inasemekana mume wao alishtuka sana kwa sababu ya kitendo hicho kwa sababu hakutarajia. Habari Nyingine Watu wengi walimsifu kwa kusema alikuwa mwanamke wa kipekee kwani ni wachache sana wanaoweza kufanya hivyo. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

5 hours ago, 22:19
@Tuko - By: Christopher Oyier
Vifo vya wagonjwa waliopewa dawa zisizostahili vimeongezeka – Chama cha mafamasia wa Kenya

Mwenyekiti wa chama cha mafamasia nchini (KPA) Patrick Adera aliiambia TUKO.co.ke kuwa idadi ya mafamasia na wataalamu wa kifamasia ukilinganishwa na taaluma zingine iko chini sana, hali iliyowafanya ...

Category: topnews news
6 hours ago, 21:39
@Tuko - By: Joshua Kithome
Ni kweli kuwa wabunge walihongwa kubatilisha ripoti ya sukari - Mbunge wa Jubilee

Mbunge wa Naivasha, Jayne Kihara ndiye mbunge wa hivi punde kuyathibitisha madai kuwa wabunge katika Bunge la Kitaifa walihongwa ili kuitupilia mbali ripoti ya sukari iliyokuwa imewaandama mawaziri wa ...

Category: topnews news
4 hours ago, 23:51
@Tuko - By: Michael Ollinga Or ...
Uhuru orders incoming PS to clean up corruption-riddled NYS

President Uhuru Kenyatta has directed newly appointed Youths and Gender Principal Secretary Francis Otieno Owino to clean all the mess in the corruption laden National Youth Service to ensure Kenyan y ...

Category: topnews news politics
5 hours ago, 22:32
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Man who allegedly slept with 13 MPs excites social media with birthday message to Sabina Chege

Waziri Chacha, the man famous for allegedly ploughing 13 female MPs is back at it with his tricks and tackles. The celebrated member of the infamous team mafisi decided to wish Murang'a Woman Rep Sabi ...

Category: topnews news
6 hours ago, 21:53
@Tuko - By: Asher Omondi
I will criticise demolitions of illegal building despite friendship with Uhuru - Governor Waititu

Kiambu Governor Ferdinand Waititu has vowed to fight demolitions of illegal structures on riparian land even if he will pay a huge political price. Waititu who previously asked President Uhuru Kenyatt ...

Category: topnews news politics
4 hours ago, 23:55
@Tuko - By: Christopher Oyier
IMF inaweza kusalia na mkopo wake wa KSh 150 bilioni, Kenya haihitaji pesa hizo - Mshauri wa Rais

Kenya imekataa mkopo wa bima wa KSh 150 bilioni kutoka kwa shirika la kimataifa la fedha (IMF) baada ya kutofautiana kuhusu masharti ya mkopo huo.Pesa hizo zililengwa kutumiwa kuzuia shilingi ya Kenya ...

Our App