@Tuko

Migori yaomboleza kifo cha mamake aliyekuwa seneta wa Migori marehemu Ben Oluoch

7 days ago, 13:36

By: Christopher Oyier

-Mama Teodora alilazwa katika hospitali ya kimishonari ya St. Joseph Ombo ambapo aliaga dunia

-Kulingana na msemaji wa familia yake Denis Ojwang’, marehemu alikuwa kwenye miaka yake ya 90

-Mwanawe, Oluoch, alifariki kutokana na saratani mwezi Juni 2018 katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi

Familia ya aliyekuwa seneta wa Migori Ben Oluoch Okello imepatwa na msiba mwingine baada ya mamake mwanasiasa huyo kufariki Ijumaa, Oktoba 12 asubuhi.

Mama Teodora Ayieko alitangazwa kufariki katika hospitali ya kimishonari ya St. Joseph Ombo katika kaunti ya Migori ambako alikuwa amelazwa kwa muda, msemaji wa familia hiyo Denis Ojwang’ alisema.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine:

Habari Nyingine:

Ojwang’ alidhibitisha kuwa Mama Teodora alikuwa kwenye miaka yake ya 90.

Kifo chake kimejiri miezi mitano baada ya mwanawe, Okello kuaga dunia kutokana na saratani katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi usiku wa kuamkia Jumatatu, Juni 18.

Habari Nyingine:

Okello ambaye alikuwa mtangazaji maarufu kwa jamii ya Waluo kabla ya kuchaguliwa na watu wa Migori kuwa seneta wao kwenye uchaguzi wa Agosti 2017.

Mtangazaji huyo wa zamani wa redio alishinda kiti hicho kwa tiketi ya chama cha ODM na kuchukua nafasi ya Wilfred Machage aliyeamua kuwania kiti cha ubunge wa Kuria Magharibi.

Habari Nyingine:

Jumatatum, Oktoba 8, 2018, wakazi wa Migori walimchagua Ochillo Ayacko wa chama cha ODM kurithi nafasi ya Oluoch ambaye chama hicho kilimtaja kuwa kiongozi mwaminifu katika kazi yake.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Wakazi wa Migori wamtaka gavana wao Okoth Obado aachiliwe |

Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 17:06
@Tuko - By: Christopher Oyier
Wakenya wamsifu afisa wa polisi aliyewakabili wezi 2 pekee yake jijini Nairobi

Video iliyoonyesha jinsi afisa wa polisi wa utawala Constable Joash Ombati, 34, alivyowakabili majambazi jijini Nairobi na kuwakamata imezuhia hisia mseto mtandaoni huku Wakenya wakimpongeza kwa ujasi ...

Category: topnews news
2 hours ago, 16:36
@Tuko - By: Joshua Kithome
Wanafunzi wa Rongo wafanya maajabu wakati wa mazishi ya Sharon

Hali ya wasiwasi ilitanda katika kijiji cha Marage kaunti ya Homabay baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo kutatiza kwa muda ibada ya mazishi ya mwendazake Sharon Otieno aliyeuawa kinyama mnamo m ...

Category: topnews news
3 hours ago, 15:55
@Mpasho - By: Uncle Chim Tuna
High school student facing murder charge after stabbing colleague to death

A Form 2 student was arraigned before a Kakamega magistrate yesterday and accused of killing his classmate in a brawl over a Sh600 debt. ...

Category: lifestyle news topnews
3 hours ago, 15:55
@Tuko - By: Joshua Kithome
Mtangazaji maarufu apatikana kafia ndani ya nyumba yake

Sekta ya uahanabari Afrika Mashariki inaomboleza kifo cha mmoja wao raia wa Tanzania, Isaac Gamba. Gamba ambaye alikuwa akifanya kazi na shirika la utangazaji la Deutsche Welle Swahili ya Ujerumani al ...

Category: topnews news
3 hours ago, 15:44
@Tuko - By: Douglas Baya
Radio presenter Nick Odhiambo reveals he shaved 7-year dreadlocks over HIV scare

On Saturday, October 28 2017, husky-voiced radio personality Nick Odhiambo shaved his trademark dreadlocks he had 'raised' for about seven year. Then, the radio personality did not really divulge more ...

Category: entertainment news topnews
3 hours ago, 15:13
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Shirika la uchapishaji vitabu lakosolewa, lazima kujitetea

Shirika la uchapishaji vitabu nchini limetupilia mbali madai kuwa baadhi ya vitabu vya mtaala mpya wa elimu vinafunza watoto kupenda pesa za haraka bila kufanya bidii wala kazi.Pata habari zaidi kutok ...

Our App