@Tuko

Mfanyikazi wa nyumba akamatwa akimtendea unyama mtoto wa mwajiri wake

9 months ago, 13 Mar 20:21

By: Philip Mboya

ajakazi ni watu muhimu mno katika familia maana wao ndio mameneja ya nyumba nyingi kote duniani Ripoti zinaonyesha kuwa wengi wa wafanyikazi wa nyumba huficha tabia zao hadi pale wanapoaminiwa na waajiri wao. Baada ya hapo, wao huanza kutoa tabia zao walizoficha ikiwemo kuwatesa watoto na kuharibu mali nyumbani . Habari Nyingine: Wengi wamebaki kinywa wazi baada ya msichana mmoja wa nyumba kupatikana akimnywesha mtoto wa mwajiri wake sabuni maji. Habari Nyingine:i Mwanadada huyo alieleza kuwa alichoka na kazi hiyo na hivyo alitaka kutoroka na ndipo akaamua kumfanyia mtoto huyo unyama huo. Habari Nyingine: ‘’ Nilikuwa nimechoka na kazi na nilitaka kutoka, nilikuwea nikila vizuri na wala sikuwa nikiteswa na mwajiri wangu’,’ alisema Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

18 minutes
@Tuko - By: Francis Silva
Umbo jipya la aliyekuwa ‘ex’ wa Diamond Platnumz legeuka gumzo kubwa mitaani

Kuna mashabiki wake ambao hadi sasa bado wanaamini alifanyiwa upasuaji wa kiteknolojia ya kisasa kupunguza mafuta tumboni. Pia inadaiwa upasuaji aliofanyiwa unamzuia kula bila ya kujiwekea viwango na ...

Category: topnews news
1 hours ago, 08:50
@Tuko - By: Francis Silva
Miguna apanga kurejea Kenya ingawa serikali inapinga uamuzi wa korti

Korti jijini Nairobi ilitoa uamuzi wake na kusema serikali ilikiuka haki za Miguna na kuamrisha alipwe KSh 7.2 milioni, hata hivyo serikali inahisi uamuzi huo haukuwa sawa na Jumatatu, Desemba 17 itak ...

Category: topnews news
2 hours ago, 07:48
@Tuko - By: Muyela Roberto
4 killed, 9 injured in Trans Nzoia village clash with police

The incident occurred after police arrested a man believed to have been involved in a domestic brawl with the wife and some residents violently attempted to free the suspect compelling the police offi ...

Category: topnews news
3 hours ago, 06:56
@Tuko - By: Jacob Onyango
DP Ruto insists maize farmers should stop whining about prices year in year out

DP William Ruto has asked leaders to be sincere with the electorate on the crop diversification discourse. He wondered why some leaders were opposed to diversification programme that is meant to end o ...

Category: topnews news politics
4 hours ago, 06:05
@Tuko - By: Jacob Onyango
Ruto allies blast ODM MPs for taking advantage of handshake to undermine the DP

The leaders among them MPs Didmus Barasa (Kimilili), Bernard Shinali (Ikolomani), Charles Gimose (Hamisi) and ex-senator Bonny Khalwale called for respect among leaders, saying handshake should not be ...

Category: topnews news
14 hours ago, 20:06
@Tuko - By: Rene Otinga
Senior State House employee Laban Cliff weds long time sweetheart

Senior State Huse employee Laban Cliff Onserio is officially off the market after tying the knot with his long term sweetheart in a colorful ceremony on Sunday, December 16. Onserio, who had previousl ...

Category: entertainment news topnews

Our App