@Tuko

Akifisha miaka 37, DJ Makena atumia KSh 1 milioni katika sherehe yake ya kuzaliwa

4 months ago, 16 Apr 22:08

By: Joshua Kithome

DJ Pierra Makena aliwashangaza mashabiki wake na marafiki kwa kuandaa karamu kubwa ya kukata na shoka katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Makena alitumia Ksh 1 milioni kujivinjari na kuadhimisha miaka 37 tangu kuzaliwa DJ Pierra Makena awaduwaza wengi kwa kutumia KSh1 milioni katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa PICHA: Hisani DJ Pierra Makena mnamo siku ya Jumatano, Aprili 11 aliadhimisha siku ya kuzaliwa kwake kwa njia ya kipekee, gharama sherehe zake ikiwaacha wengi kuduwaa na kukosa la kusema. Habari Nyingine; Akizungumzia kupitia kwa ukurasa wake wa Instagramu, Makena alichapisha picha yake iliyoandamana na maandishi ya kutamanisha. TUKO.co.ke imefahamu kuwa Makena aliamua kujivinjari kwa njia ya kipekee, sherehe zake zikiwa zimeandaliwa katika hoteli moja kuu ya kifahari jijini Nairobi. Alitumia pesa nyingi kujipa raha PICHA: Hisani Habari Nyingine: Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hour ago
@Tuko - By: Tina Mutinda
Wanawake wenye ushawishi mkubwa zaidi Kenya

Ni dhahiri siasa za Kenya zimetamalakiwa na wanaume. Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambalo limetambulika kutokana na ushawishi wao mkubwa katika siasa na uongozi nchini. Kundi hilo linaongozwa na ...

Category: topnews news
1 hours ago, 16:20
@Mpasho - By: Geoffrey Mbuthia
I'm under Uhuru's thumb, Sonko says, admits illegal release of Waititu's wife(video)

A recording has emerged of Nairobi Governor Mike Sonko implying that President Uhuru Kenyatta is controlling the ongoing crackdown on illegal buildings. ...

Category: topnews news
1 hours ago, 16:19
@Tuko - By: Joshua Kithome
Jamii ya Luhya kuwa kali kisiasa 2022, Wamalwa akutana na Mudavadi, Wetangula

Japo ajenda ya mkutano huo wa Jumatano, Agosti 15 ingali kitendawili kwa Wakenya. wadokezi wa waliiambia TUKO.co.ke kuwa watatu hao kwa kauli moja waliamua kuyaangazia masuala ya muhimu kwa jamii ya M ...

Category: topnews news
1 hours ago, 16:03
@Tuko - By: Stephen Kamau
10 timeless pricing strategies for your business

Read on to the article to find out about ★PRICING STRATEGIES★ and the different types. Choosing the right type of pricing strategy is a very tough job. Visit Tuko.co.ke and find out which pricing meth ...

Category: topnews news
2 hours ago, 15:43
@Tuko - By: Tina Mutinda
Unakumbuka picha ya Uhuru na Ruto wakilia pamoja?

Picha nadra ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto inaonyesha wakilia pamoja baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2013. Uhuru na Ruto walianza kushirikikiana pamoja kabla ya Ucha ...

Category: topnews news
2 hours ago, 15:39
@Mpasho - By: Lily Mwangi
Atajua jela siyo riparian! Waititu's wife arrested over illegal construction

Kiambu Governor Ferdinand Waititu’s wife Susan Wangare is among 15 people who have been arrested over illegal construction of buildings in Nairobi. ...

Category: lifestyle news entertainment topnews

Our App