@Tuko

Akothee ajitokeza kuwaomba wafuasi wake kumuombea kwa masaibu mengi yanayomkumba

7 months ago, 13 Mar 22:42

By: Joshua Kithome

Mwimbaji wa humu nchini, Akothee amewaomba wafuasi wake kusimama naye katika sala huku akipambana na aliyekuwa mpenziwe mahakamani. Akothee anadaiwa kuwa na makabiliano na mumewe wa zamani mwenye asili ya kizungu anayetaka apewe mwanawe waliozaa pamoja Katika kitendo kisicho cha kawaida, Akothee alionekana mnyonge mbele ya wafuasi wake na kuwaomba wamkumbuke kwa sala huku mpenziwe wake mwenye asili ya kizungu akiwasilisha kesi mahakamani akitaka apewe mwanawe. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Akothee ajitokeza kuwaomba wafuasi wake kumuombea kwa masaibu mengi yanayomkumba PICHA: Hisani Habari Nyingine: Katika ujumbe uliowagusa wengi ulioonekana na TUKO.co.ke siku ya Jumanne, Machi 13, Akothee alisema kuwa watoto wote wanafaa kuwa na mama zao. Alifichua kuwa hataunda ushuhuda wa uwongo dhidi ya mumewe wa zamani mahakamani anayetaka kupewa mwanawe waliozaa pamoja. "Hamjambo marafiki wapenzi, tafadhali nikumbukeni pamoja na familia yangu katika maombi yenu asubuhi hii, Mungu awabariki. Mungu najua ni wewe, mbona niwe na hofu? Watoto ni wa mama na Mungu wajua. Ndio maana ulipanda bengu ndani ya mwanamke kwa sababu wajua sisi tu wavumilivu na wenye kujali...sitapigana wala kujitetea! Sitatoa ushuhuda wa uongo," Alisema Akothee. Habari Nyingine: Akothee hapo awali alielezea jinsi mumewe wa zamani alikuwa akimwandama ampe mwanawe akigundua kuwa ana mwanaume mwingine. Alishangaa ni kwa nini jamaa huyo alimtaka mwanawe ilhali huwa hachangii chochote katika kumlea mwanawe. Una maoni? Una taarifa ambayo ungepend tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

20 minutes
@Tuko - By: Francis Silva
Kabogo akasirishwa na Waititu na watu wake kukanyaga zulia lake

Katika jumbe zake kupitia Twitter ambazo TUKO.co.ke imezisoma, Kabogo alichapisha picha ambazo zilionyesha wazi kutofurahishwa kwake na Gavana Fednarnd Waitutu ambaye alikuwa kwenye mkutano ulioandali ...

Category: topnews news
1 hours ago, 14:09
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Singer Alicia Keys buys lover KSh 15 million car

Popular USA based musician Alicia Keys outdid everyone when she decided to gift her 40-year-old hubby Swizz Beatz with a KSh 15 million Aston Martin Vantage. Yes, she did that! She planned the birthda ...

Category: topnews news entertainment
1 hours ago, 14:20
@Tuko - By: Christopher Oyier
Baadhi ya wakenya husubiri watu watoe jasho kisha waombe kiinua mgongo – Akothee

Msanii maarufu Akothee amewashambulia watu wazembe ambao husubiri kufaidi kutoka kwa jambo la watu wengine, ilhali wana uwezo wa kujituma na kujitaftia mahitaji yao. Akothee aliwaonya Wakenya dhidi ya ...

Category: topnews news
1 hours ago, 13:47
@Tuko - By: Fred Kennedy
Mourinho launches hunt for mole who leaked team tactics ahead of Chelsea clash

Manchester United manager, Jose Mourinho, has initiated an internal investigation into his backroom in desperate search for a mole that reportedly leaked team news and tactics to Chelsea before their ...

Category: topnews news sports
1 hours ago, 13:58
@Tuko - By: Christopher Oyier
Mashabiki wasisimkia mapaja meupe ya mtangazaji Joey Muthengi mtandaoni

Kwenye kipachiko cha Instagram kilichotazamwa na TUKO.co.ke, Joey Muthengi aliwapakulia wafuasi wake umbo nzima la mapaja yake akiwa anapumzika nyumbani kwake. Binti huyo alisema kuwa ni mpenziwe tu a ...

Category: topnews news
1 hours ago, 13:36
@Tuko - By: Venessa Nyasio
Diamond's step dad on spot for cheating on singer’s mum

Diamond Platnumz young step father Rally Jones has been accused of plucking fruits from another man's garden. Reports indicate the soft spoken Ben 10 has been exchanging questionable texts with an unn ...

Our App